ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,005
- 50,733
Pamoja na kwamba Tanzania ni Moja ya Nchi 10 Zenye eneo kubwa la misitu ya Asili na kupandwa iliyohifadhiwa ila Bado kama Nchi hatujanufaika na uwepo wa misitu yetu.
Just imagine makaratasi tunaagiza kutoka Nje ya Nchi na pia Ile inaitwa carbon credits Bado hatunufaiki kwenye Furnitures tumejaza Mali za Wachina, Watoto wanakaa chini hakuna madawati nk.
My Take: Kuliko kuwa na misitu Mingi ambayo haitunufaishi ni Bora Serikali ikate maeneo ya Hifadhi za misitu iwape wawekezaji wakubwa Waanzishe mashamba makubwa ya Kilimo yaani large scale plantations kwenye mazao ya kimkakati.
Wakulima wadogo hawawezi kuivusha Nchi.