Nchi 10 za Afrika zenye uwekezaji mkubwa kutoka nje, Tanzania yashika nafasi ya 8 Afrika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,863
Uwekezaji wa mitaji ya biashara kutoka Nje kwenye sekta mbalimbali unazidi kukua Afrika ambapo kati ya Nchi 10 zinazoongoza Afrika Tanzania inazidi kufanya kweli Kwa kushika nafasi ya 8.

My Take: Kwa Mwendo huu Rais Samia amewaachia mbaaali sana watangulizi wake kwenye swala la uchumi.
Hongera sana kwake mama wa Uchumi.

ILa Nchi ya Senegal Ina kipi Cha spesho mpaka inakimbiza uwekezaji kiasi hicho?

=========

Uwekezaji ni mchakato wa kutumia rasilimali au fedha katika miradi au biashara kwa matumaini ya kupata faida au kurudisha uwekezaji huo. Katika ngazi ya kimataifa, uwekezaji huchukua sura ya Uwekezaji wa Moja kwa Moja wa Kigeni (FDI) ambapo wawekezaji kutoka nje ya nchi wanawekeza katika miradi ndani ya nchi nyingine.

Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuhusu Biashara na Maendeleo (UNCTAD) 5 Julai 2023, thamani ya uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje (FDI) kwa mwaka 2022 imepungua sana barani Afrika ambao ulikusudiwa kwa bara hilo linaloinuka kiuchumi.

Kulingana na ripoti hiyo, kiasi cha pesa ambacho wawekezaji wa kimataifa walipeleka Afrika kilishuka sana kutoka dola bilioni 80 mwaka 2021 hadi dola bilioni 45 mwaka 2022.

Hii ni orodha ya nchi 10 za Afrika zenye uwekezaji mkubwa wa kigeni, pamoja na thamani ya uwekezaji (TZS) kulingana na nchi zilizotajwa kwenye ripoti;

1. Misri: Trilioni 27.6
2. Afrika Kusini: Trilioni 22.5
3. Ethiopia: Trilioni 9.3
4. Senegal: Trilioni 6.5
5. Morocco: Trilioni 5.3
6. DR Congo: Trilioni 4.5
7. Ghana: Trilioni 3.8
8. Uganda: Trilioni 3.8
9. Tanzania: Trilioni 2.8
10. Zambia: Bilioni 290.6

Chanzo: Business Insider
 
Tanzania kukua kwa 5.2% nayo ni habari ya kufurahia au umeanza kufuatilia lini habari za kiuchumi hasa GDP na FDI ??...

Mtasema bado tunapambana na madhara ya Corona ilhali hakukuwa hata na serious lock down

By the way acha niwaache wafu mzikane
 
Unajua kusoma au umekurupuka? Jinga kweli wewe.

Umeambiwa Ukuaji wa uchumi robo ya kwanza umevuka malengo ya 5.2 na kufikia 5.6 wewe unaandika upuuzi
Screenshot_20230905-142419.jpg
Screenshot_20230906-152744.jpg
 
Uwekezaji wa mitaji ya biashara kutoka Nje kwenye sekta mbalimbali unazidi kukua Afrika ambapo kati ya Nchi 10 zinazoongoza Afrika Tanzania inazidi kufanya kweli Kwa kushika nafasi ya 8.

My Take: Kwa Mwendo huu Rais Samia amewaachia mbaaali sana watangulizi wake kwenye swala la uchumi.

Hongera sana kwake mama wa Uchumi.

=========

Uwekezaji ni mchakato wa kutumia rasilimali au fedha katika miradi au biashara kwa matumaini ya kupata faida au kurudisha uwekezaji huo. Katika ngazi ya kimataifa, uwekezaji huchukua sura ya Uwekezaji wa Moja kwa Moja wa Kigeni (FDI) ambapo wawekezaji kutoka nje ya nchi wanawekeza katika miradi ndani ya nchi nyingine.

Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuhusu Biashara na Maendeleo (UNCTAD) 5 Julai 2023, thamani ya uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje (FDI) kwa mwaka 2022 imepungua sana barani Afrika ambao ulikusudiwa kwa bara hilo linaloinuka kiuchumi.

Kulingana na ripoti hiyo, kiasi cha pesa ambacho wawekezaji wa kimataifa walipeleka Afrika kilishuka sana kutoka dola bilioni 80 mwaka 2021 hadi dola bilioni 45 mwaka 2022.

Hii ni orodha ya nchi 10 za Afrika zenye uwekezaji mkubwa wa kigeni, pamoja na thamani ya uwekezaji (TZS) kulingana na nchi zilizotajwa kwenye ripoti;

1. Misri: Trilioni 27.6
2. Afrika Kusini: Trilioni 22.5
3. Ethiopia: Trilioni 9.3
4. Senegal: Trilioni 6.5
5. Morocco: Trilioni 5.3
6. DR Congo: Trilioni 4.5
7. Ghana: Trilioni 3.8
8. Uganda: Trilioni 3.8
9. Tanzania: Trilioni 2.8
10. Zambia: Bilioni 290.6

Chanzo: Business Insider

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1699307513424855043?t=41qcI17K_ormQ5i3_4BZLw&s=19
 
Ulitaka umsfie tu mama yko hamna kingne budder
 
Back
Top Bottom