Nchi 10 zenye Misitu mingi Afrika, Tanzania ni namba 3

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,064
49,751
Pamoja na kwamba Tanzania ni Moja ya Nchi 10 Zenye eneo kubwa la misitu ya Asili na kupandwa iliyohifadhiwa ila Bado kama Nchi hatujanufaika na uwepo wa misitu yetu.

Just imagine makaratasi tunaagiza kutoka Nje ya Nchi na pia Ile inaitwa carbon credits Bado hatunufaiki kwenye Furnitures tumejaza Mali za Wachina, Watoto wanakaa chini hakuna madawati nk.

Misitu.png

My Take: Kuliko kuwa na misitu Mingi ambayo haitunufaishi ni Bora Serikali ikate maeneo ya Hifadhi za misitu iwape wawekezaji wakubwa Waanzishe mashamba makubwa ya Kilimo yaani large scale plantations kwenye mazao ya kimkakati.

Wakulima wadogo hawawezi kuivusha Nchi.
 
Madawati, viti na meza = 5%
Vitabu = 1%
Nyumba nzuri kama zao la miti = 5%
Dawa bora na mitishamba = 7%
Uboreshaji na kilimo cha kisasa kutokana vyanzo vya misitu = 5%
Vyombo vya majini kama meli, maboti, ngalawa, nk = 12%
Mazao na matumizi mengineyo kutokana na misitu = 10%
Kuni na kuchoma mkaa = 55%
 
Madawati, viti na meza = 10%
Vitabu = 2%
Nyumba nzuri kama zao la miti = 5%
Dawa bora na mitishamba = 7%
Uboreshaji na kilimo cha kisasa kutokana vyanzo vya misitu = 5%
Vyombo vya majini kama meli, maboti, ngalawa, nk = 12%
Mazao mengineyo kutokana na misitu = 10%
Kuna na kuchoma mkaa = 49%
Kuna shida mahala kwenye ubongo wa mtu mweusi sio Bure 😁😁
 
Pamoja na kwamba Tanzania ni Moja ya Nchi 10 Zenye eneo kubwa la misitu ya Asili na kupandwa iliyohifadhiwa ila Bado kama Nchi hatujanufaika na uwepo wa misitu yetu.

Just imagine makaratasi tunaagiza kutoka Nje ya Nchi na pia Ile inaitwa carbon credits Bado hatunufaiki nayo.

My Take: Kuliko kuwa na misitu Mingi ambayo haitunufaishi ni Bora Serikali ikate maeneo ya Hifadhi za misitu iwape wawekezaji wakubwa Waanzishe mashamba makubwa ya Kilimo yaani large scale plantations kwenye mazao ya kimkakati.

Wakulima wadogo hawawezi kuivusha Nchi.
KENYA no!!
 
Ikumbukwe kuwa sio kila mti unafaa kwa karatasi... misitu iendelee kuwepo, ukitaka kujua umuhimu wa misitu nenda Google kisha angalia nini kinatokea ziwa Chad, ziwa limebaki kama bwawa la Mindu kwa sababu za kuharibu mazingira.
 
Pamoja na kwamba Tanzania ni Moja ya Nchi 10 Zenye eneo kubwa la misitu ya Asili na kupandwa iliyohifadhiwa ila Bado kama Nchi hatujanufaika na uwepo wa misitu yetu.

Just imagine makaratasi tunaagiza kutoka Nje ya Nchi na pia Ile inaitwa carbon credits Bado hatunufaiki kwenye Furnitures tumejaza Mali za Wachina, Watoto wanakaa chini hakuna madawati nk.

My Take: Kuliko kuwa na misitu Mingi ambayo haitunufaishi ni Bora Serikali ikate maeneo ya Hifadhi za misitu iwape wawekezaji wakubwa Waanzishe mashamba makubwa ya Kilimo yaani large scale plantations kwenye mazao ya kimkakati.

Wakulima wadogo hawawezi kuivusha Nchi.

View: https://www.instagram.com/p/C4NSEh-I3Gt/?igsh=MWNjaTBwM3o5OXBzNw==
 
Wanaijeria mpaka miti wamekula
Jamaa ni balaa hawa
Linchi likubwa hivyo hawana reserve ya misitu mikubwa?
Ila sisi kwa kweli tunajitahidi
Lakini Wachina wanahonga balaa
 
Nikikumbuka China walishawahi kutuuzia na kama sijakosea mpaka sasa wanaendelea kuuza makabati ya mbao ya mapumba yaliyogundishwa na kuwa kama mbao, huwezi amini hii nchi inamisitu kiasi Cha kuwa namba 3 Africa
 
Pamoja na kwamba Tanzania ni Moja ya Nchi 10 Zenye eneo kubwa la misitu ya Asili na kupandwa iliyohifadhiwa ila Bado kama Nchi hatujanufaika na uwepo wa misitu yetu.

Just imagine makaratasi tunaagiza kutoka Nje ya Nchi na pia Ile inaitwa carbon credits Bado hatunufaiki kwenye Furnitures tumejaza Mali za Wachina, Watoto wanakaa chini hakuna madawati nk.

My Take: Kuliko kuwa na misitu Mingi ambayo haitunufaishi ni Bora Serikali ikate maeneo ya Hifadhi za misitu iwape wawekezaji wakubwa Waanzishe mashamba makubwa ya Kilimo yaani large scale plantations kwenye mazao ya kimkakati.

Wakulima wadogo hawawezi kuivusha Nchi.
Mwaka jana nchi 4 za Afrika zilikabidhi kifisadi sehemu za misitu yake kwa kampuni ya Dubai inayoitwa "Blue Carbon LLC" kwa ajili ya mradi unaoitwa "Carbon credits".

Hiyo kampuni itamiliki misitu husika kwa miaka 30. Mgawanyo wa mapato utokanao na mradi utakua hivi:-

Blue Carbon LLC - 70%
Nchi husika - 30%
‐‐-----------------------

THE UNITED ARAB EMIRATES TAKEOVER OF AFRICAN FORESTS:

As the oil-rich country hosts COP28, an Emirati company has signed agreements in Liberia, Tanzania, Zambia and Zimbabwe to convert part of their land into carbon credits – acts of 'greenwashing' and 'colonialism,' some NGOs say....

Back
Top Bottom