Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
- Thread starter
- #21
mipaka ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na majeshi yake yote.Dola ipi hiyo?

UMELISHWA LIMBWATA WEWE. dume zima hata aibu huoni.:tape2: tatizo nccr mageuzi sio chama cha upinzani,ni chama cha kuaribu upinzani:rockon:
Yaani wewe ndio mbulula kabisa, Machali alipata kura ngapi dhidi ya mgombea wako wa CHADEMA. Ok, 1995 tulianguka sawa, 2010 CHADEMA mlianguka, tumelingana, sasa zamu yetu tena. WEWE unafanya siasa za upepo ndio maana unatumika kama pedi.Mlishindwa kushika nchi mwaka 1995 mlipokuwa na Mrema na wafuasi wake wa wakati huo! leo mtaupataje urais hata wanachama wenu hawafiki 250? hata mkimrudisha Mrema, Mabere Marando, Tenga, Masumbuko Lamwai, na hata mlete Majini subiani na mapepo, hamtaambulia hata kiti kimoja cha ubunge seuze Urais! labda mjiunge na Chadema, TLP, UDP ndipo mjaribu kushindana na CUF sikwambii CCM (Kigumu Chama Cha Mapinduzi) Kigumu eee!
Dola ipi hiyo?
UMELISHWA LIMBWATA WEWE. dume zima hata aibu huoni.
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.

Yaani wewe ndio mbulula kabisa, Machali alipata kura ngapi dhidi ya mgombea wako wa CHADEMA. Ok, 1995 tulianguka sawa, 2010 CHADEMA mlianguka, tumelingana, sasa zamu yetu tena. WEWE unafanya siasa za upepo ndio maana unatumika kama pedi.
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.
haki ya mtu huwa haipotei, chama cha nccr-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, nccr-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea utu wa mtanzania, wakati mnalaumiana kuendeleza udikteta na kuhisiana ugaidi sisi tuko na mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya watanzania.
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.
:tape2: tatizo nccr mageuzi sio chama cha upinzani,ni chama cha kuaribu upinzani:rockon: