Labda kama kuna urais wa kuteuliwa na rais, huo mtaupata kwasababu ndo kilichobakia kwenu. Hivi Hashim Rungwe sijui Rangwe alipata kura ngapi vile?? nafikiri idadi ya kura zake ilikuwa kama zile za uchaguzi wa mwenyekiti wa kitongoji. Acheni ndoto za kwenye jua kali
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.
Kisandu ndani ya kazi,naona kaka uko busy kuusaka Urais sifahamu kama siku hizi kuna Urais wa kuteuliwa na kama upo basi mtashika nchi ni hayo tu big up kaka
Dola ipi hiyo?
Nenda pia jukwaa la michezo useme hivi: Taifa Stars watacheza fainali za kombe la dunia brazil 2014, na watanyakua kombe!Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.