NCCR-MAGEUZI chama MAKINI kushika dolla 2015

Baba Clara

Member
Joined
May 10, 2011
Posts
94
Reaction score
27
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.
 
Labda kama kuna urais wa kuteuliwa na rais, huo mtaupata kwasababu ndo kilichobakia kwenu. Hivi Hashim Rungwe sijui Rangwe alipata kura ngapi vile?? nafikiri idadi ya kura zake ilikuwa kama zile za uchaguzi wa mwenyekiti wa kitongoji. Acheni ndoto za kwenye jua kali
 
Vipi ule Muungano na MAGAMBA, ushakamilika? Au ndiyo mpo EDA?
 
Dola ya Hela au?

Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.
 
kwa mtu mwenye akili NCCR-manunuzi kinaweza kuwa mkombozi wa watanzania na sio hawa akina CUF-uislam, chadema-ukirsto-uchaga-ukanda na ccm-mafisadi.
tunakosa watu wenye uelewa pala NCCR manunuzi.
 
Kisandu ndani ya kazi,naona kaka uko busy kuusaka Urais sifahamu kama siku hizi kuna Urais wa kuteuliwa na kama upo basi mtashika nchi ni hayo tu big up kaka
 
kazi kweli kweli hizi mbege za kuchanganya na viroba zitawamaliza vijana
 
Nina zaidi ya miaka miwili pasipo kuifatilia NCCR zaidi tu ya lile sakata la Kafulila, vp mmetulia huko eeh!!!
Mimi nakosa dira ya siasa za bongo, maana TISS wapo na wameonyesha wanauwezo wa kufanya lolote hapa nchini tangu NCCR ya Mrema, CUF ya Lipumba na CDM ya Slaa. Huku vijana tumeshahamishwa mawazo tunatafutana wachawi na kunyoosheana vidole.
Bongo politiki, ni heri uuze karanga gengeni.
 
Ndio mlivyoambiwa baada ya filamu ya lwakatare mje kwa kasi chadema itakuwa imechuja ahahahahahahahh!!!
 
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.

:tape2: tatizo nccr mageuzi sio chama cha upinzani,ni chama cha kuaribu upinzani:rockon:
 
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.

Mlishindwa kushika nchi mwaka 1995 mlipokuwa na Mrema na wafuasi wake wa wakati huo! leo mtaupataje urais hata wanachama wenu hawafiki 250? hata mkimrudisha Mrema, Mabere Marando, Tenga, Masumbuko Lamwai, na hata mlete Majini subiani na mapepo, hamtaambulia hata kiti kimoja cha ubunge seuze Urais! labda mjiunge na Chadema, TLP, UDP ndipo mjaribu kushindana na CUF sikwambii CCM (Kigumu Chama Cha Mapinduzi) Kigumu eee!
 
NCCR ilishakufa tangu Mrema aondoke
 
Labda kama kuna urais wa kuteuliwa na rais, huo mtaupata kwasababu ndo kilichobakia kwenu. Hivi Hashim Rungwe sijui Rangwe alipata kura ngapi vile?? nafikiri idadi ya kura zake ilikuwa kama zile za uchaguzi wa mwenyekiti wa kitongoji. Acheni ndoto za kwenye jua kali
Mbona hampendi kusema kama tuna wabunge mnakimbilia kura za Urais? KUga alikuwa 4 anawabunge wangapi?
 
Back
Top Bottom