NCAA Yawaita watu kazini.

Jan 4, 2014
31
11
NCAA imeanza kuwatumia sms kuwataarifu kufika kazini watu wote waliofanikiwa kupita katika usaili ulioanza tarehe 06 Februari, 2018.
Hivyo hauna budi kujiandaa kisaikolojia kwa kutambua kukosa na kupata vyote vipo(it's a probability)
Tarehe ya kuripoti kazin imeainishwa kuwa 05 March.
 
NCAA ni wapi hawa? Maana tumeomba kazi nyingi mixer kusahau!
 
ina maana wote mliopita hatua ya awali ya mchujo mna ingia kazini? aisee hongereni mna bahati sanaa...
 
ina maana wote mliopita hatua ya awali ya mchujo mna ingia kazini? aisee hongereni mna bahati sanaa...
Sio ya awali mkuu walipiga Written wakapiga na oral kupitia Utumishi usije changanya na post za TANAPA maana NGORONGORO Walishapiga phase zote mbili wanachosubiri ndo hiki alichokisema hapo mdau juu kwamba kuna simu za kuitwa kazini.Ahsanteh
 
Back
Top Bottom