NBS: Kuitwa kwenye usaili wa nafasi za Udadisi katika Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi

na swali la introduce yourself wanalipenda hawa, karibu tupo pamoja
Asante Mkuu, naona siku imepita kesho (j4) jioni tutakua tuneshajua hatma, ingawa matumaini ni madogo ila naamini Mwenyezi Mungu atafanya wepesi.,Inshaallah!
 
Maswali yalikua yale yale au
Madam S maswali yalikua sehemu mbili, sehemu ya kwanza kulikua na multiple choices (ambapo palikua na maswali km mawili kati ya uliyosema wewe,,,,, what is NBS na jingine family is comprised of........ Unachagua jibu sahihi).

Sehemu ya pili ilikua kujaza nafasi zilizo wazi. Maswali yake yalikua :-
1. Mention the law that govern the production of Statistics in Tz.......

2. The National Bureau of Statistics Operates under the Ministry of........

3. Population and household census is Conducted after how many years in Tz.......

4. When was the last household budget survey conducted in Tz........

5. When was the last population and housing census conducted in Tz.......

Ni mtiti kiaina, maana hadi wengine tulichemka hahaaa!
 
jamani huku mwanza haya mambo yatafanyika lini? au ndio tayari wameweka vijana wao. viongozi wetu mtasaidie jamani
 
NBS ,We deserve to hear back for the oral interview of 11/10/2017 at DUCE please even if the news is negative let us not remain in a state of anticipation, wondering if we're still in the running. We stew in silence?
 
Afadhali nyie mmefanya hata huo usaili, sisi huku Mwanza hakuna usaili wowote uliofanyika. Walipigiana simu na watu wao tu, basi. Mheshimiwa Rais mtetezi wa wanyonge tusaidie Baba
NBS ,We deserve to hear back for the oral interview of 11/10/2017 at DUCE please even if the news is negative let us not remain in a state of anticipation, wondering if we're still in the running. We stew in silence?
 
Madam S maswali yalikua sehemu mbili, sehemu ya kwanza kulikua na multiple choices (ambapo palikua na maswali km mawili kati ya uliyosema wewe,,,,, what is NBS na jingine family is comprised of........ Unachagua jibu sahihi).

Sehemu ya pili ilikua kujaza nafasi zilizo wazi. Maswali yake yalikua :-
1. Mention the law that govern the production of Statistics in Tz.......

2. The National Bureau of Statistics Operates under the Ministry of........

3. Population and household census is Conducted after how many years in Tz.......

4. When was the last household budget survey conducted in Tz........

5. When was the last population and housing census conducted in Tz.......

Ni mtiti kiaina, maana hadi wengine tulichemka hahaaa!
duh poleni kweli waliamua kuwakomesha
 
Back
Top Bottom