NBMM Foundation stage II na NABE Stage II

mwana mpendwa

Senior Member
Oct 6, 2012
171
20
Heshima kwenu wakuu. Mdogo wangu ana Foundation stage I & II kutoka NBMM na NABE Stage I & II, naomba wakuu mnisaidie aweze kupata kazi. Yupo Dar es salaam. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Mungu awabariki sana.
 
Back
Top Bottom