Touch ID
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 209
- 213
Habarini wakuu poleni na harakati za kujikwamua kiuchumi. Nimekuja mbele yenu kupata details za biashara ya chuma chakavu na chupa za plastic.
Vitu ninavotamani kujua ni
1. Mtaji wa kuanza nao
2. Soko la chuma na plastic
3. Changamoto za biashara hizo mbili
4. Ipi kati ya hizo ni biashara nzuri zaidi
5. Mahitaji ya msingi ili kuweza kuanza biashara
Target ya biashara ni Dar es Salaam. Lakini unaweza recommend kutokana na uelewa wako na sehemu uliyopo.
NATANGULIZA SHUKRANI