Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 106
Kawaulize NBC
Kawaulize NBC
Kichwa cha panziKawaulize NBC
Kawaulize NBC
Hajakuuliza wewe, acha kiherehere.
NBC wapo watumishi wa aina mbili kwa hiyo kitengo unayoisema, lipo kampuni 'erolink' linamkataba na NBC wa baadhi ya idara, hawa wanalipwa kuanzia Tsh 450,000/= sijui wanaoajiriwa na NBC moja kwa moja
kama huna cha kuongea kaa kimya. Si lazima kila kinachowekwa u-comment

Watu mtakuwa wastaarabu lini, mbona hamkui na kuwa watu wa busara. Mwenzako ameuliza kama huna jibu nyamaza!!! Eti mtu kama wewe kesho utaitwa baba, this short / brief reading of yours shows what a type of a man you are!!!
Mkuu Obe unajua na CRDB, graduate anayeanza kazi kama bank officer mshahara wake ngapi?
Utaratibu wa Sector binafsi wanalipa kutokana na umuhimu wako na Bargaining power yako, kwa hili swali unaonyesha ni mtu wa level gani naomba nikuhakikishie kwa level yako usitegemee Netpay ya zaidi ya Tshs500,000, japo utawakuta Bankteller wenzio wenye zaidi ya Mshahara huo.Habar za asubuh wana JF
Naomben kama kuna yeyote anayejua au mwenye ufaham na Salary scale za NBC kwa Customer Care depart,division ya bank teller anijuzwe,nitashukuru sana.
Hajakuuliza wewe, acha kiherehere.
NBC wapo watumishi wa aina mbili kwa hiyo kitengo unayoisema, lipo kampuni 'erolink' linamkataba na NBC wa baadhi ya idara, hawa wanalipwa kuanzia Tsh 450,000/= sijui wanaoajiriwa na NBC moja kwa moja
kama huna cha kuongea kaa kimya. Si lazima kila kinachowekwa u-comment
hyo 450000/= ni baada ya kukatwa makato yote au,na kwa mtu mwenye elimu gani?

Mdau Paulss, sina kiwango kamili cha nafasi hiyo, umesoma SUA nini (joke), mwaka 2009 position hiyo walikuwa wakilipa 520,000/= najua kwa sasa imepanda lakini si kwa sh. ngapi. Pamoja sana
hyo 450000/= ni baada ya kukatwa makato yote au,na kwa mtu mwenye elimu gani?
Habar za asubuh wana JF