NBC Salary scale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NBC Salary scale

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Babu wa Loliondo, Apr 23, 2012.

 1. Babu wa Loliondo

  Babu wa Loliondo JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 297
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Habar za asubuh wana JF
  Naomben kama kuna yeyote anayejua au mwenye ufaham na Salary scale za NBC kwa Customer Care depart,division ya bank teller anijuzwe,nitashukuru sana.
   
 2. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kawaulize NBC
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Watu mtakuwa wastaarabu lini, mbona hamkui na kuwa watu wa busara. Mwenzako ameuliza kama huna jibu nyamaza!!! Eti mtu kama wewe kesho utaitwa baba, this short / brief reading of yours shows what a type of a man you are!!!
   
 4. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,372
  Trophy Points: 280
  Hajakuuliza wewe, acha kiherehere.

  NBC wapo watumishi wa aina mbili kwa hiyo kitengo unayoisema, lipo kampuni 'erolink' linamkataba na NBC wa baadhi ya idara, hawa wanalipwa kuanzia Tsh 450,000/= sijui wanaoajiriwa na NBC moja kwa moja
   
 5. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kichwa cha panzi
   
 6. m

  missilicious Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama huna cha kuongea kaa kimya. Si lazima kila kinachowekwa u-comment
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Hiyo ni Salary ama petty cash? halafu utaishije mjini?
   
 8. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sure kama mie nimepita na nimejua kumbe 450000 na kupita
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu Obe unajua na CRDB, graduate anayeanza kazi kama bank officer mshahara wake ngapi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160

  ndetichia like this post
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,372
  Trophy Points: 280
  Mdau Paulss, sina kiwango kamili cha nafasi hiyo, umesoma SUA nini (joke), mwaka 2009 position hiyo walikuwa wakilipa 520,000/= najua kwa sasa imepanda lakini si kwa sh. ngapi. Pamoja sana
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Utaratibu wa Sector binafsi wanalipa kutokana na umuhimu wako na Bargaining power yako, kwa hili swali unaonyesha ni mtu wa level gani naomba nikuhakikishie kwa level yako usitegemee Netpay ya zaidi ya Tshs500,000, japo utawakuta Bankteller wenzio wenye zaidi ya Mshahara huo.
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hyo 450000/= ni baada ya kukatwa makato yote au,na kwa mtu mwenye elimu gani?
   
 14. Babu wa Loliondo

  Babu wa Loliondo JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 297
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  asante mkuu,kwa taarifa hizo ngoja niendelee kujua hao wanaoajiriwa na NBC moja kwa moja kwa wadau wengine wenye taarifa zaid
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na akishindwa kukaa kimya asimame kimya siyo utulee uvivu wa kufikiri humu
   
 16. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,372
  Trophy Points: 280
  Rejea post ya mkuu Ezan#12, utajua mengi, lakini kama umepitia chini ya agency hiyo ni kwa mtu mwenye shahada au stashahada ya juu.
   
 17. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hiyo 450,000 ni kabla ya kukatwa makato
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Du kwa mshahara kama huo labda uwe unaishi kwa baba na mama ila kama ni kujitegemea kamwe usitegemee kujakuendelea!
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  nadhani ni kabla ya makato so after makato unaeza pokea laki mbili na kitu
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ni Tsh.350,00/= take home
   
Loading...