Shukrani Mkuu ila leo naona taarifa ya habari imejaa viwanja vilivyochomwa moto kila kona naona pepo (Jini kwa wenzetu wengine) la moto lilikiwa linapita viwanja vikubwa vikubwa hadi wakalamba mtu pale namanga. Lilichonishangaza nitabia ya Watanzania kupenda kulaumu na kushutumu mfumo wa 'Fire Brigade', sijui watu wangapi kati yetu tuna skills za fire preventions? au katika ujenzi wa vibanda vyetu tumewahi kutafakari moto ukitokea hata nikiwa kazini what need to be done? Wale tunaowaacha nyumbani wanainstructions au skills za kudeal na moto pale unapotokea? maana kwa ujuzi wangu mdogo moto wa majo si wa mafuta na si wakaratasi kila mmoja wapo unastaili yake mwingine ukiumwagia maji ndo umeuchochea wadau.... tuambiane ukweli wangapi wamejipanga pale kibandani kwetu au kwenye vihekalu vyetu kujihami na moto... mbaya zaidi wale ma HG na HB kwa wale walionao tunawaandaaa....