NBC - POSTA yanusurika kuteketea kwa moto!!

mhhhh moto ni tukio la kawaida kutokea sehemu yoyote kama kuna hitilafu isababishayo.
 
Mkuu niko hapa IPS building mkabala na NBC head office hakuna tukio kama hilo muulize vizuri huyo aliyekupa taarifa
Majungu na umbea siupendi sana. Kama mtu huna uhakika kwa nini udanganye wenzako. Aiseee hii tabia ikiendelea naomba MoDs ikitokea mtu analeta tetesi za uwongo zikifika tatu apewe adhabu maana atakuwa hana maana na jukwaa hili.
 
Kweli mzee wa rula umbea mwingine hauna maana yoyote. Tukio la kuungua benki ni kubwa sana mtu unapnpata tetesi jaribu kuzifanyia utafiti kwanza sio kukurupuka tu. SHAME UPON YOU.
 
Usipodanganya utaumwa tumbo la kuendesha? No research no right to speak ndugu
 
Shukrani Mkuu ila leo naona taarifa ya habari imejaa viwanja vilivyochomwa moto kila kona naona pepo (Jini kwa wenzetu wengine) la moto lilikiwa linapita viwanja vikubwa vikubwa hadi wakalamba mtu pale namanga. Lilichonishangaza nitabia ya Watanzania kupenda kulaumu na kushutumu mfumo wa 'Fire Brigade', sijui watu wangapi kati yetu tuna skills za fire preventions? au katika ujenzi wa vibanda vyetu tumewahi kutafakari moto ukitokea hata nikiwa kazini what need to be done? Wale tunaowaacha nyumbani wanainstructions au skills za kudeal na moto pale unapotokea? maana kwa ujuzi wangu mdogo moto wa majo si wa mafuta na si wakaratasi kila mmoja wapo unastaili yake mwingine ukiumwagia maji ndo umeuchochea wadau.... tuambiane ukweli wangapi wamejipanga pale kibandani kwetu au kwenye vihekalu vyetu kujihami na moto... mbaya zaidi wale ma HG na HB kwa wale walionao tunawaandaaa....
 
WADAU WENGINE BWANA! (Mzee wa Rula na wenzako) NADHANI MMECHOKA AKILI NDO MAANA HAMUIANGALII THREAD VIZURI, KATEGORY YA 'TETESI' INA MAANA GANI? SASA TATIZO LIKWAPI... SI UNAONA ANCLE JEIJEI KACONFIRM.....

USHABIKI MWINGINE BWANA MNAKURUPUKA TU KAMA MAKAMBA. NA VIMEO WENZAKE..
 
Majungu na umbea siupendi sana. Kama mtu huna uhakika kwa nini udanganye wenzako. Aiseee hii tabia ikiendelea naomba MoDs ikitokea mtu analeta tetesi za uwongo zikifika tatu apewe adhabu maana atakuwa hana maana na jukwaa hili.

Umesema ukweli, watu hawatafiti kabla ya kuandika thread zao hapa.

Kilichotokea NBC haikuwa ajali ya moto, bali utaratibu wa benki hiyo kufanya zoezi la kuzima moto na uokoaji kila baada ya miezi michache (Fire Drill). Hii ni issue ya kawaida kwa wale wanaofanya kazi maeneo yanayojali usalama wa wafanyakazi kazini, taratibu kama hizi za fire drill zipo.
 
Katika bank ya NBC makao makuu pale posta kumetokea hitilafu ya umeme ambapo chanzo chake hakijafahamika!shughuli zote zimecmama na wafanyakaz wote wako nje ya jengo kupisha uchunguzi chin ya kikos cha zima moto(security group) kilichowasili mapema! Inasemekana hakuna aliyeumia!

umekuja lini kutoka kijijini kwenu? NBC wanafanya fire drilling every/almost every year
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom