NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Kuna vijana wengi wakitanzania i know nao pia wanapenda kweli kuvaa skinny jeans alafu wanavalia matakonialafu hawana ****** kazi kweli kweli.sijui ndiyo kufuata mkumbo huko au ndiyo when you are in america yo u need to act liek american?.

wee nyani ngabu ina maana kila mwanaume aliyekuwa divorced ni gay?.

Well...siyo kwamba kila mwanamume anayevaa skinny jeans ni suspect lakini hebu jiulize mwenyewe....mwanamume mwembamba halafu unavaa skinny jeans...kwa nini?

wewe unaweza kum-date mwanamume anayevaa skinny jeans?
 
No only wanavaa skinny jeans but skin guy are not my cup of coffee.hawako attractive to me.I need a really man ambaye at least akinishika na feel the muscles.
 
Ndo maana uwa unajifua jimu 24/7 nini? Angalia hayo mafomula yanamadhara....lol

Formula gani yenye madhara? Labda unazungumzia anabolic steroids...lakini nutritional supplements zingine hazina madhara
 
No only wanavaa skinny jeans but skin guy are not my cup of coffee.hawako attractive to me.I need a really man ambaye at least akinishika na feel the muscles.

Unaona sasa kumbe na wewe unapenda muscles...sasa mwambie huyo QM awe anaingia gym angalau mara tatu kwa wiki....aache kuendekeza ulaini laini....
 
tsk tsk tsk kumbe you are in love uh then why were you asking me if i am single or not?.you are so silly man.

Sasa kuna ubaya gani akijua kama uko single au la, na wewe ni mmoja wa wale ukiulizwa kama uko single basi unajua mwanaume anakutaka?

Hizi Playoffs zinaendeleaje kwanza? maana wengine Basketball imetupitia kushoto kabisa.
 
Unaona sasa kumbe na wewe unapenda muscles...sasa mwambie huyo QM awe anaingia gym angalau mara tatu kwa wiki....aache kuendekeza ulaini laini....

siyo kweli lazima uwende gym ndiy uonekane mwanaume.kuna gay guys wengi tuu mbona gym na bado wateketeke sema tuu watu wanakwenda gym kuwa toned.
 
Hapana bana. Yaani mtu ushinde kunyanyua majichuma mpaka mijijasho inakutiririka kama nini sijui. Tena unalipia kusukuma hiyo michuma. Shida yote ya nini!!

Kwani si kuna baadhi ya sehemu za mwili ambazo zina muscles naturally. Tena zingine hazina hata mafuta wala mifupa, ni mambo ya muscles tu kwenda mbele.. Hizo zinatosha kabisa..... lol
 
Sasa kuna ubaya gani akijua kama uko single au la, na wewe ni mmoja wa wale ukiulizwa kama uko single basi unajua mwanaume anakutaka?

Hizi Playoffs zinaendeleaje kwanza? maana wengine Basketball imetupitia kushoto kabisa.

oh btw playoff zinaendelea vizuri sana hiyo timu yako ya hawks ilifungwa huzi na Miami tena vibaya sana tuu.Then lakers waliwabamiza kinomaaa Utah jazz game ilikuwa nzuri sana ila i was home sick day after maana lakers walifungwa ila i think waliwaachia tuu then Bulls na Boston gadammit wale watu waliingia overtime mara 2 ilikuwa kidogo waende overtime ya tatu that was crazy.

No wala nilikuwa sifikkirii kuwa Nyani ngabu atanitaka maana najua love is int he air na sister Kelly01 no doutn tutakuja ksuikia chereko na vifijo and i cant wait kushuhudia.Ila tuu na wewe usifanye engagement kempisky.
 
No engagement yetu itakuwa Ocho Rios au Punta Carna au Rio....nitamwachia Cuppy achague....
 
oh btw playoff zinaendelea vizuri sana hiyo timu yako ya hawks ilifungwa huzi na Miami tena vibaya sana tuu.Then lakers waliwabamiza kinomaaa Utah jazz game ilikuwa nzuri sana ila i was home sick day after maana lakers walifungwa ila i think waliwaachia tuu then Bulls na Boston gadammit wale watu waliingia overtime mara 2 ilikuwa kidogo waende overtime ya tatu that was crazy.

No wala nilikuwa sifikkirii kuwa Nyani ngabu atanitaka maana najua love is int he air na sister Kelly01 no doutn tutakuja ksuikia chereko na vifijo and i cant wait kushuhudia.Ila tuu na wewe usifanye engagement kempisky.

Duh last time nimefuatilia Series ya Hawks na Heat ilikuwa tied 2-2, lakers wamewabamiza wavhovu Utah who?

Hii biashara ya kubeba chuma wakati domo zege utaishia kuwa na mwili kama nyumba na bado usipate chicks.
 
siyo kweli lazima uwende gym ndiy uonekane mwanaume.kuna gay guys wengi tuu mbona gym na bado wateketeke sema tuu watu wanakwenda gym kuwa toned.

Ma gay wanao work out regimen zao ziko tofauti kabisa na straight men. Wao wanataka ku maintain figure zao za ki feminine....

Njoo LA Fitness siku moja uone wanamume wa shoka wanavyosukuma uzito...you'll be impressed na uki date mmoja wao utajisikia secure muda wote
 
Duh last time nimefuatilia Series ya Hawks na Heat ilikuwa tied 2-2, lakers wamewabamiza wavhovu Utah who?

Hii biashara ya kubeba chuma wakati domo zege utaishia kuwa na mwili kama nyumba na bado usipate chicks.

basi kama ni hivyo basi msimshabikie sana huyo king james sijui anajua kucheza na yeye pia anacheza na wachomvu detroit so anawaonea tuu.yeah ilikuwa 2-2 now heat wako mbele ya hawks 3-2
 
Hii biashara ya kubeba chuma wakati domo zege utaishia kuwa na mwili kama nyumba na bado usipate chicks.

Workin out is a swagga enhancer....

Next time nenda ile LA Fitness ya pale Atlantic Station...ni sehemu nzuri ya kupatia hook ups....
 
Ma gay wanao work out regimen zao ziko tofauti kabisa na straight men. Wao wanataka ku maintain figure zao za ki feminine....

Njoo LA Fitness siku moja uone wanamume wa shoka wanavyosukuma uzito...you'll be impressed na uki date mmoja wao utajisikia secure muda wote

ha-ha dont make me laugh out loud nyani you never cease to amaze me for real.gym ni gym tuu haijalishi iwe LA fitness au Ballys kote si kuna vifaa sawa,kuna ma-gay wale feminst na wale ma-gay wanaopenda pande zote (on the down low).siku hizi inakuwa ngumu sana kuamini wanaume unajua.majority wako on the down low ila its hard to admit.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom