NBA Playoffs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NBA Playoffs

Discussion in 'Sports' started by BAK, Apr 19, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Naangalia mchezo kati ya Spurs na Mavericks. Nilidhani Spurs watapata mteremko lakini naona mechi inaweza kwenda kwa timu yeyote na kama Mavericks watashinda watakuwa wamesteal home advantage from the Spurs. Najua mwaka HUU NBA Finals ni kati ya Cleveland na Los Angeles, ningependa sana Cleveland washinde ili King James naye apate ring, lakini Kobe na Lakers wanauzoefu mkubwa kuliko Cleveland hivyo wana nafasi kubwa ya kushinda. Wanaanza 4th quarter in few minutes wakiwa wametie 74-74.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Dallas Mavericks wameshinda kwa 105-97
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  NBA mwakani labda itawaha moto apa TZ maana kutakuwa na mark yetu huko labda itaamsha ari ili nao uwe no 2 after faball
   
 4. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,277
  Likes Received: 4,260
  Trophy Points: 280
  BAK ni kweli Lebron James anatakiwe apate ring but kazi wanayo
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Apr 19, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Well said Belo!
   
 6. Sasha Fierce

  Sasha Fierce JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mechi nzuri ilikuwa kati ya Boston na Bulls na dallas na spurs kwa jumamosi kwangu mimi then jana Lakers babe all the way!
   
 7. Sasha Fierce

  Sasha Fierce JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hahaha i can see hasheem going very far kwenye NBA.ila asiingie na ego zile za kiafrika afrika,so far anaweza kuchukuliwa na Memphis (40%) na close out yake inaweza ikawa 5mil for a start!
   
 8. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Duh!! Mimi na Basketball kushoto, ila naona my team Atlanta Hawks lazima wawafundishe Heat kisomo...!!
   
 9. Sasha Fierce

  Sasha Fierce JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Game ya jana ya Hawks na Miami sikuiona sijui matokeo yalikuwaje.

  Naona Kesho Detroit na Cleverland ita suck tuu kama ya jumamosi Detroit wameshachoka sasa.
   
 10. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Zama za Detroit kutesa zishafika mwisho, Hawks walishinda jana 90-64.
   
 11. Sasha Fierce

  Sasha Fierce JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ila Hawks ilikuwa mbovu sana zamani.
  Unajua team ikishakuwa inamtegemea mtu mmoja tuu ni tatizo sana kama cavalier akiondoka Lebron wamekwisha siyo kama Lakers.Ile team imekamilika kabisa na siyo kama wanamtegemea Kobe peke yake,Though Kobe ni unbeatable kwenye NBA playoffs.
   
 12. J

  JokaKuu Platinum Member

  #12
  Apr 20, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,982
  Trophy Points: 280
  ..fainali itakuwa Cleveland vs Lakers.

  ..Cleveland watashinda, lakini kwa kubebwa na ma-referee.

  ..Kobe Bryant is more skilled than any player currently in the NBA, lakini ana damu ya kunguni. wapenzi wa basketball, pamoja na waandishi wa habari, hutokea kumchukia tu bila sababu yoyote ya msingi.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Apr 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Cleveland hawashindi ubingwa....
   
 14. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2009
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  hao cleveland wameanza playoffs kwa mrengo wa kushoto lost to hao mliowaita kuwa kwa sasa ni shikamoo jazz detroit..yaani nitawacheka sana kwa moto wote they had msimu mzima alafu ndio uwe mwisho wao hao kina le bron
   
 15. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2009
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  besides naona pia timu zingine zilizotisha kwenye regular season nazo zimeanza vibaya kama kina orlando,boston, miami!!!

  ol i can tabiri ni kwa lakers kuingia fainali from west
  ila kwa east kama KG akipona then boston watarudi tena,elsewise cleveland watafika pale

  no matter who wil b comin from da east side kwa mwaka huu wont matter cz fainali lakers watashinda kirahisiiiii
   
 16. Sasha Fierce

  Sasha Fierce JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hivi what happen to jana na Bulls yaani walianza vizuri sana ile jumamosi jana wakawa wamelegea sana.I suppose wanapenda kwenda 1-1 thats sucks kwa kweli.
   
 17. Sasha Fierce

  Sasha Fierce JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Haya mambo ya kumsifia KG ndiyo kocha wao kasema jana **** KG and he is not coming back.Boston wanawachezaji wazuri sana na watu kukaa na kumuongelea mtu mmoja inaonekana kama wengine hawafanyi kitu matokeo yake wale wengine wanakuwa hawana mori wa kucheza na ndiyo maana ikabidi kocha wao jana aongee kuhusu huyoKG.jUZI AKAJIDAI KUKASIRIKA AKAENDA kujifungia locker room.basi kama alikuwa na hasira sana angemuomba mtu amfungie kwa nje maana kama amejifungia mwenyewe ni kwamba anaweza kutoka.

  hapo kwa Larkers umenena huu nimwaka wao and this time wakishind ayaani itakuwa history kwa Kobe kushinda bila Shakili O'neal.
   
 18. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Do not underestimate the power of San Antonio Spurs...with or without Ginoooobili. Si mmeona jana walivyowatengeza the Mavericks!!
   
 19. Sasha Fierce

  Sasha Fierce JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Na jumamosi iile maverick si waliwatengeza wao?.Maverick walikuwa wazuri zamani nadhani sasa wamechoka.

  Kama ikiwezekana watu inabidi tu bet money hapa

  where willt he amazing happen this year?Mimi nasema Larkers who wanna bet with me $200.00.
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  It is team game, pamoja na kuwa Celtic wana wacheza wazuri sana kukosekana KG one of the big three ni pengo kubwa sana ambalo inadhaniwa lilimsababisha hata meneja wao apate minor heart attack aliposikia kwamba KG hatakuwa available kwenye playoffs. Bulls wakitulia basi wanaweza kabisa kuwatoa Celtics hata jana waliponea tundu la sindano. Huu ni mwaka wa Kobe lakini inabidi acheze katika kiwango cha hali ya juu sana dhidi ya King James and Clevaland hasa ukitilia maanani King James ana Home court advantage na walipoteza mchezo mmoja tu nyumbani katika regular season.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...