mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 331
- 708
Kwa Yusuf ni wapi?Nenda kwa Yusuf ukikosa hapo basi Dar nzima hakuna
Kama Kuna Yusuf Yoyote Unamfahamu Wewe NendaKwa Yusuf ni wapi?
Niko shy hapa dark fever tu nimeikosa, mikoa mingine jauMwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.
1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver
3. Rasasi La Yuqawam
Kama Kuna Yusuf Yoyote Unamfahamu Wewe Nenda
Hizi perfume ni nzuri sana alafu bei yake kitonga. Zinanukia kila kitu kama creed aventus.Sio zile pafyuma ukipita mtaani hata nusu saa unatuachia harufu kali
Kuna mikoa kunukia sio lifestyle ni anasa isiyo na ulazima 😅Niko shy hapa dark fever tu nimeikosa, mikoa mingine jau
Kweli kabisa [emoji23]Kuna mikoa kunukia sio lifestyle ni anasa isiyo na ulazima [emoji28]
Yote Kheri Tu Wala Si Dhambi,,Kwanza Mimi Ni Mtakatifu MnooView attachment 3277143
Umepata likes mbili, zinakutosha? Au waje wengine nawe ujihisi una watu wa kukupa attention?
Nenda mtaa wa Lumumba, Tawi la crdb karibu na jengo la CCM. Kabla ya crdb kuna duka la furniture nadhani ni furniture centre wale mtaa huo huo shuka chini kama unaenda Kkoo. Kama jengo la nne au la tano upande wako wa kushoto utaona Duka la perfume kuna jamaa mwarabu anapiga chafya kama la ugoro ndo hapo hapoKwa Yusuf ni wapi?
Upo wapi nikuagize mkuu😂Kuna mikoa kunukia sio lifestyle ni anasa isiyo na ulazima 😅
Jamani nimechekaaa😆Kama Kuna Yusuf Yoyote Unamfahamu Wewe Nenda
Jaribu kucheck kwa Pablo Perfumes, yuko City MallMwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.
1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver
3. Rasasi La Yuqawam
Kwa Yusuf ni wapi?
Upo mkoa gani mkuuNimezitafuta
Many thanks mkuu, nitafika hapo.Nenda mtaa wa Lumumba, Tawi la crdb karibu na jengo la CCM. Kabla ya crdb kuna duka la furniture nadhani ni furniture centre wale mtaa huo huo shuka chini kama unaenda Kkoo. Kama jengo la nne au la tano upande wako wa kushoto utaona Duka la perfume kuna jamaa mwarabu anapiga chafya kama la ugoro ndo hapo hapo
Nipo DSM.Upo mkoa gani mkuu
Sawa shukrani, nitaenda kupacheki.Kariakoo mtaa wa Lumumba maeneo hayo