Naziona dalili za PINDA kuibuka Kidedea

Naziona dalili za PINDA kuibuka Kidedea

Uko sahihi mkuu. Amewashambulia sana. Pinda anaweza akapita. Wanaokataa hawana hoja za msingi. Wamekaririshwa

Na kweli sikujui wala hujulikani na ulichokipost wala hukijui na pia hakijulikani
 
1.Lowasa
2.Membe
3.Pinda
4.Bilal/Agostino
5.Migiro Asha.
 
Pinda awe Rais duuh kweli Tanzania imeoza kabisa
 
Haiwajawahi kutokea katika historia ya Tanzania (au hata Tanganyika) mtu aliyekuwa Waziri Mkuu akaja baadae kuwa Rais, isipokuwa Nyerere. Huko nyuma waliokuwa Mawaziri Wakuu walijaribu kuutafuta U-Rais lakini hawakufanikiwa. Historia itajirudia tena mwaka huu! Kwa taarifa yako Mawaziri Wakuu waliopita waliojaribu kuingia katika kinyan'ganyiro cha urais ni Joseph Sinde Warioba, Cleopa Msuya, John Malechela, Salim Ahmed Salim na Fredrick Sumaye. Hii ina maana gani? Ina maana kuwa Si Lowassa au Pinda atakayekuwa Rais wa awamu ya tano.
 
Mbona tunakua wapuuuzi????mnaweka tension kubwa katika mchakato Wa c.c.m kama mmeambiwa lazima raid atoke chama hiko?.....rais bora atatoka nje ya c.c.m only dat
 
Haiwajawahi kutokea katika historia ya Tanzania (au hata Tanganyika) mtu aliyekuwa Waziri Mkuu akaja baadae kuwa Rais, isipokuwa Nyerere. Huko nyuma waliokuwa Mawaziri Wakuu walijaribu kuutafuta U-Rais lakini hawakufanikiwa. Historia itajirudia tena mwaka huu! Kwa taarifa yako Mawaziri Wakuu waliopita waliojaribu kuingia katika kinyan'ganyiro cha urais ni Joseph Sinde Warioba, Cleopa Msuya, John Malechela, Salim Ahmed Salim na Fredrick Sumaye. Hii ina maana gani? Ina maana kuwa Si Lowassa au Pinda atakayekuwa Rais wa awamu ya tano.

Kumbe umekariri historia eeh, Ni sawa na kusema Kwamba haijawahi toka nchi ikaendeshwa na chama nje ya CCM
 
unnamed (25).jpg
Amiri jeshi mtarajiwa huyu hapa akiwa na Waziri mkuu wa Ethiopia
 
Mizengo Pinda hajavunja sheria hata moja ya Chama. Wapo na Wengine ila Pinda ni Zaidi yao
 
Aje yeyote sisi watanzania wazalendo tunajiandaa kuvote upinzani
 
tunashukuru kwa kuendelea kutufungua macho watanzania maana kila mtangazania yeye ni bora bila kujua TANZANIA imetoka WAP,Tupi WAP na inaenda WAP pia mafanikio na changamoto zake lakin, mh. Pinda kazungumz ayo...TUNAMKATAAJE SASA
 
Suala ni kanuni inakataza kuwashambulia wagombea wenzako.Sababu hii tayari imeishamuondoa kwenye kinyang'anyiro maana siku ya kwanza tu alimsema sana Wasira na kisha akamsema sana Lowassa, ata kama watamkata Lowassa lakini Makongoro kwa kosa hilo hawezi kuvuka.

Kweli nimeamini hii nchi ni ya vilaza watupu; hizo kanuni zinamuondoleaje mwananchi umaskini wake?
 
Uko sahihi mkuu. Amewashambulia sana. Pinda anaweza akapita. Wanaokataa hawana hoja za msingi. Wamekaririshwa

Kama CCM watampitisha Pinda

Then GOD is UKAWA! Because sala za UKAWA zitakuwa zimesikilizwa
 
vijana wenzangu tuelbishane kwa hoja za msingi tusibishe kwa mkumbo maana tunaharibu taifa..ata vitabu vya dini vinatufundisha namna kumuadhibu MTU mkaidi, jeuri, mwizi, na ukiwa kama mzazi lazima uwe na maamuzi kwa ajili kuimarisha family iwe na misingi bora, ndio alivyofanya mzee pinda
 
Pinda huyu huyu wa utapigwa tuu! Akipita ninaonea huruma kucha za wapinzani.
 
Back
Top Bottom