Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,452
- 609
- Thread starter
- #21
Hana mvuto kwa watu, hivyo sisiemu hawawezi mpitisha!
Kwani yale ni Mashindano ya uMiss au Visura? Ikulu hawaendi kuuza Sura wewe. Acha utoto
Hana mvuto kwa watu, hivyo sisiemu hawawezi mpitisha!
Kama ni mvuto si tumpe wema sepetu
Mkuu sio suala la akili hapa. Kama ni wasomi wengi wapo CCM no question about it, kama ni wenye uzoefu nk ni CCM. Lini suala ni mfumo wake ulivyo mbovu haiwezekaniki hata angechaguliwa mtu articluated kiasi gani akatufaa. This is the problem. Jibu ni kuitupilia mbali waende wake china wavunje mfumo wao warudi tena kutuomba wakiwa na mfumo tutakao uona sasa safi. Mbona haya mambo ni wazi. Hata Brazil/German?Spain etc zikifungwa kwenye kombe la dunia kocha anajiuzuru,timu inasukwa upya, ikirejea ni moto wa kuote mbali. sababu wanapata muda wa kureflect makosa yao.
Hana mvuto kwa watu, hivyo sisiemu hawawezi mpitisha!
pinda hawezi kusimama na siasa zake za kizee,vijana wanataka siasa za hoja na sio mtu kama yuko kanisani
mimi nasema kuringana na upepo wa siasa ulinyo kwa sasa siamini ccm wanaweza kudanganyika kumpitisha mtu aina ya pinda lakini 3 bora ya urais ni hii tu,
1,magufuli
2mwandosya
3,makongoro
basi hawa ndo moto wa siasa za sasa, basi
pinda huyu wa wapige tu au pinda wa tumechoka?
pinda huyu wa wapige tu au pinda wa tumechoka?
Makongoro hawezi kuwepo 5 bora.Amevunja kanuni kwa kuwashambulia wenzake jambo ambalo ni kosa.
kweli pinda anaweza kupambana kwa namna siasa zilivyo leo?
mimi nafikili ccm wana kazi moja tu ya kuakikisha mtu anayepitiswa hili watu wamuone ni wa maana kwa vigezo vifuatavyo
MAGUFULI kwanini?
1,mkali
2,mchapa kazi
3 mtu aliyewatumikia watanzania wote kila kona ili iwe lahisi ccm kumuuza kwa wananchi
4 mtu anayefaamika sana kwa watu
hicho ndo kinampa sifa magufuli kupita wate maana hakuna mwenye vigezo vyote kwa wengine.
Nimezinyaka mahali hizo info, nimesikitika sana
Yani akili yako iko Limited. Kwa hiyo unataka kusema Watanzania wote waliopo CCM hawana akili yani ni Mburula kama wewe? Bado siamini hili. Af kama nakufahamu hivi. Ushawahi kutibiwa Hospitali ya Dodoma pale ile maalumu?