Naziona dalili za PINDA kuibuka Kidedea

Naziona dalili za PINDA kuibuka Kidedea

Hana kashfa ya ufisadi na kiutumishi wa umma ni mwadilifu records zinazieleza.
 
jamani mwenzetu alionge vizuri; kila nchi INA sheria na taratibu zake na kama utakaidi , kujiona upo juu ya sheri na jeuri,
Sana UTAPIGWA TU..ni maamuzi ya kimafunzo, nawasiwasi na nyie mnaobisha mmepata mafunzo ya wazazi kweli..kama umepata mh. Linda ndio atatuvusha
 
pinda hawezi kusimama na siasa zake za kizee,vijana wanataka siasa za hoja na sio mtu kama yuko kanisani
mimi nasema kuringana na upepo wa siasa ulinyo kwa sasa siamini ccm wanaweza kudanganyika kumpitisha mtu aina ya pinda lakini 3 bora ya urais ni hii tu,
1,magufuli
2mwandosya
3,makongoro
basi hawa ndo moto wa siasa za sasa, basi

Kanone
Unaowataja wote hao yeye ndiye kiranja wao, anahakikisha kila MTU anafanya vizuri kwenye idara yake.kwa maana nzuri yeye ndiye msimamizi mkuu was shughuli zao zote
 
jamani afu muwe mnanpa ata chochote maana tunajitaidi
kuwaelimisha kwa upole na hekima ili kesho usijutie maamuzi yako, mwisho tuache siasa za vijiweni..
 
Haiwajawahi kutokea katika historia ya Tanzania (au hata Tanganyika) mtu aliyekuwa Waziri Mkuu akaja baadae kuwa Rais, isipokuwa Nyerere. Huko nyuma waliokuwa Mawaziri Wakuu walijaribu kuutafuta U-Rais lakini hawakufanikiwa. Historia itajirudia tena mwaka huu! Kwa taarifa yako Mawaziri Wakuu waliopita waliojaribu kuingia katika kinyan'ganyiro cha urais ni Joseph Sinde Warioba, Cleopa Msuya, John Malechela, Salim Ahmed Salim na Fredrick Sumaye. Hii ina maana gani? Ina maana kuwa Si Lowassa au Pinda atakayekuwa Rais wa awamu ya tano.

ndugu unajichanganya mwenywe umesema haijawai tokea raisi akatokea kwenye uwaziri mkuu ila mwl. Nyerere, huoni kama umejiuliza mwenywe na kujijibu mwenywe....na chakukusaidia historia zipo kwa ajili ya kuvunjwa
 
Mungu wangu Pinda of all the candidates, Masikini Tanzania yangu
 
Hapo kilaza utakuwa wewe,kuna sehemu isiyo na kanuni au taratibu?
Mchumia tumbo yoyote lazima awaone wengine wote ni vilaza[ mimi nilikuwa tu siamini hilo na bado muda kidogo utabakia mdomo wazi tutakutana humu humu usikilizie vizuri muziki wangu kwa sasa natuliza boli
 
"Wapigwe tuu hakuna namna nyingne"huikumbuki hii kauli na baada ya kutamka hayo unaweza niambia nin kilitokea?kuweni wazalendo tuibadilishe hii nchi sio ushabik afu still bado tuna lalamika.yani kupata kiongozi bola ndani ya ccm nisawa nakutafta mwanamke bikra ndani ya wodi ya wazazi.
Atatupiga tu huyo hafai hata ubalozi wa nyumba kumi.
 
Back
Top Bottom