.sasa wapinzani nani anafaa? Lazima ujiulize. Lakini mada hii haihusu nani rais, inahusu nani kuibuka kidedea. Hivyo unapochangia hata kama uko chama pinzani unapaswa uangalie mada inasemaje kisha toa maoni. Sio mtu anakuja kusema hafai bila kueleza sababu. Sema kwa kueleza sababu ambazo zinaeleweka na kutambulika na ikibidi unaweka na ushahidi
Hakuna anaye faa simple and clear. Wewe ndio huju soma between the lines