Naziona dalili za kumpa talaka mke wangu mpendwa

Naziona dalili za kumpa talaka mke wangu mpendwa

Baada ya kufanya tendo la ndoa kwa raundi ya kwanza ndipo mke wangu mpendwa aliponiomba "twende chooni" akimaanisha nimwingilie kinyume na maumbile.

Kwakweli ilibidi nifanye ili kumridhisha na kumuonya kwamba iwe ni siku ile pekee. Kuanzia hapo mke wangu kaweka msimamo kuwa hanipi haki yangu mpaka nimpe "kiu yake"

"Mchelea mwana kulia hulia yeye"
 
No way!hyo bibie lazma alishafany hvyo b4 ss woote mkakutan mnajidai wasaf wkt ufirauni ilikuwa jadi yenu.mjasiri haachi asili .....na hzo methal zko unaonekan mhuzi sn shekhe nn?!ulikuw wp kuzifanyia kazi au umekariri tu hujui maana zake?!katubu umrudie Muumba othawz laana itakumaliza ww na kizaz chako mpk cha 4.
 
mimi nafikiri ningepewa ushauri wa namna ya kutatua tatizo hili badala ya kunilaumu kwani hata malenga wanasema:

"Mwenye
kupenda ni jura, wala
hana maarifa."

"na mwenye kuanza daima hawez kuacha" Endelea kumridhisha mwenzio huku unamkasirisha Mungu.
 
ama kweli malenga walikuwa sawa waliposema:

" Alokunyowa,
mekupunguza
kuchana."

yaani wana mmu kama watoto wadogo wamejaa ujana sana. Hata ushauri wa maana hakuna"

"nimeumia sana"
"nimesikitishwa sana"
"nimedhalilishwa sana"
 
"Haina tabibu
ndwele ya mapenzi"

ndugu wana mmu hayo si maneno yangu, ni malenga wetu hao wanaelezea jinsi mahaba yalivyo na thamani ya pekee.

"Hakukuwa
kupendana, bila
kuheshimiana"

"swadakta" hapo juu ndo penye kiini cha mshawasho wangu wa kuamua kuliumiza dole gumba langu kuandika maneno haya mujarabu kwa watu shupavu wa mmu.

Ndugu zangu mwenzenu yamenikuta makubwa. Mimi nimeoa nikiwa mtu mzima sana. Tofauti ya umri na mke wangu ni miaka kumi na kenda. Miezi sita ya kwanza ndoa yetu ilikuwa ya furaha sana na hakika nilionja raha majinuni ya ndoa. Baada ya hapo ni mateso makubwa sana.

". Hasikii la
mwadhini wala la
mtia maji msikitini"

Mke wangu kaanzisha tabia chafu sana na isiyo mpendeza MUNGU na walimwengu pia. Ilikuwa ni mwezi wa saba wa ndoa yetu usiku wa maanani ndipo kiini cha dukuduku langu lilipoanza. Baada ya kufanya tendo la ndoa kwa raundi ya kwanza ndipo mke wangu mpendwa aliponiomba "twende chooni" akimaanisha nimwingilie kinyume na maumbile.

Kwakweli ilibidi nifanye ili kumridhisha na kumuonya kwamba iwe ni siku ile pekee. Kuanzia hapo mke wangu kaweka msimamo kuwa hanipi haki yangu mpaka nimpe "kiu yake"

Nafikiria kumpa taraka mke wangu ukizingatia bado hatujazaa.

Naombeni ushauri wana mmu wapendwa.

". Heri kufa macho
kuliko moyo"

qoetes master.

Hutaiona pepo wewe.
 
Back
Top Bottom