Naziona dalili za kumpa talaka mke wangu mpendwa

Naziona dalili za kumpa talaka mke wangu mpendwa

ama kweli malenga walikuwa sawa waliposema:

" Alokunyowa,
mekupunguza
kuchana."

yaani wana mmu kama watoto wadogo wamejaa ujana sana. Hata ushauri wa maana hakuna"

"nimeumia sana"
"nimesikitishwa sana"
"nimedhalilishwa sana"

kwahiyo umeona humu kuna watt...bas nenda pengine utasaidika...lakin bado cjajua utu uzima wako uliplay party gan kwny hili sakata zima.....lols.....
 
mimi nafikiri ningepewa ushauri wa namna ya kutatua tatizo hili badala ya kunilaumu kwani hata malenga wanasema:

"mwenye
kupenda ni jura, wala
hana maarifa."

hapan shaka mchezo huu ulishajaribu kwingine mbali na kwa mkeo.angalizo kuna maradhi utayapata ya kuziba njia ya mkoja,,maumivu yake ni kinyume cha utamu uupatao pindi unakandamiza njia ya upepo,shadr at al munya
 
We jinga sana, kila kitu malenga walisema. Na kufila pia walikwambia ufile. Jinga sana, mla huliwa naamini hata wewe ushaliwa 0713

malenga walisema:

"Chuki
humchoma
anayeihifadhi."
 
hivi kuomba ushauri ni lazime ushambuliwe kwa maneno makali? Mbona tunakuwa tunaongozwa na "hisia" badala ya "fikra" pevu. Labda tu niwakumbushe busara ya malenga wanaposema:

"Fitina ikidhihiri
ubaya hukithiri."
 
ama kweli malenga walikuwa sawa waliposema:

" Alokunyowa,
mekupunguza
kuchana."

yaani wana mmu kama watoto wadogo wamejaa ujana sana. Hata ushauri wa maana hakuna"

"nimeumia sana"
"nimesikitishwa sana"
"nimedhalilishwa sana"

bwana ee usitusumbue na malenga wako hapa....... Mbona hukuja kuomba ushaur jinsi ya kuingza kunako kinyesi..... Lakin endelea na huo mchezo ukikua utaacha
 
Piga talaka huyo ni jinamizi mkubwa anagongwa huko nje saana ashaharibika tayari acha kwanza hazai wa nini furaha ya Ndoa watoto sio Kufil*na.
 
Angekua mwingine kaombwa aende choon wallah angemnunulia gari huyo mkeo!!!nashangaa wewee eti wataka kumuacha hebu mpe bana si ni mkeo
 
japo 'umri si chochete bali ni nambari tu' lakini mkuu mkeo ni wa rika la kuoa mwanao. Lakini pia yaonyesha uliingia kichwa kichwa bila ya kufanya utafiti wa tabia na malezi ya mkeo kabla ya kuoa. Kwa vile umeshauvaa mkenge...mrudie mola wako kwa kujaribu kunasihi aishi kwa mazingatio na matakwa ya mola wake.
 
lakini hata maandishi yako ynaonesha ulivyo mshiriki wa huo mchezo, hapa ni mliwa kaliwa,
 
japo 'umri si chochete bali ni nambari tu' lakini mkuu mkeo ni wa rika la kuoa mwanao. Lakini pia yaonyesha uliingia kichwa kichwa bila ya kufanya utafiti wa tabia na malezi ya mkeo kabla ya kuoa. Kwa vile umeshauvaa mkenge...mrudie mola wako kwa kujaribu kunasihi aishi kwa mazingatio na matakwa ya mola wake.

hakika wewe ni mtu mujarabu kabisa. Wastahili kigoda cha wakulu wa nchito. Hii ndio aina ya busara nayotegemea kutoka kwa mtu mwenye fikra pevu na endelevu. Utafauti kati ya miss chaga(no hard feelings miss) na wewe unaonekana wazi. Asante sana mzee mwenzangu na nakutunuku bure busara ya malenga wetu pale wanaposema:

"Asili ya huba,
mwanzowe ni jicho.:
 
Piga talaka huyo ni jinamizi mkubwa anagongwa huko nje saana ashaharibika tayari acha kwanza hazai wa nini furaha ya Ndoa watoto sio Kufil*na.

mmmmmmmh!,..ndugu usisahau haya ni mapenzi na kumpa mtu talaka kunahitaji moyo haswa na ndiyo maana malenga wanasema:

"Chozi la
akupendaye hutoka
kwenye chongo."
 
bwana ee usitusumbue na malenga wako hapa....... Mbona hukuja kuomba ushaur jinsi ya kuingza kunako kinyesi..... Lakin endelea na huo mchezo ukikua utaacha

Malenga wanasema:

"asiyejua maana, haambiwi maana."
 
Kwani ukimuacha ataenda kufa? Tuache kuwatishia nyau wamama zetu.
 
Back
Top Bottom