Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,601
- 4,087
WAKUU,
Huku kitaa, pande za pwani, ukiamka asubuhi unakuta katikati ya njia panda/makutano ya barabara zimevunjwa nazi balaa-
Sasa siku hizi kila asubuhi huwa natembelea njia panda kadhaa na BESENI LANGU,
NAZOA VIPANDE VYA NAZI NATAFUNA,
NA ZINGINE NAPELEKA NYUMBANI KUUNGIA KANDE NA MCHUDHI!
Shendhi!!!
Au kuna Tatizo Wakuu?