SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,951
Sawa moto ni ule ule lakini utakuwa Advanced.Mkuu usiwe na shaka,ni moto tu ule ule hawezi badilisha[emoji23] [emoji23]
Kumbuka Mungu hashindwi na chochote. Anaweza kuuchochea hata mara kadhaa zaidi ya mwanzo.
Gesi yake si ya kitoto.