Nazi tunayo wadada/wanawake

Wakuu heshima kwenu, tunakumbushana tu wadada/wanawake tu play part zetu Kwa waume zetu 99.9% ili wasijehamia Kwa Samantha maana keshaingia bongo na waume zetu washaanza kumnunua, naskia anajoto balaa

Innalillah wainna illahi rajiun, bora akachepuke kuliko kumchukua Samantha
e38898959eed29f44aa925cafecc8fff.jpg
9eb99477b117b1aa665ffff8f458941f.jpg
Shetani kaamua kutumia majini kwa kivuli cha midoli.
 
Sijui kwanini haijanshtua. All in all bado nafasi ya binadamu itabaki as binadamu na mdoli as mdoli.. Kajifurahisheni nafsi zenu wanaume,sitongozi mtu abadani.
Wacha Maneno ,ngoja mziki uje, jiandae kushindana na Samantha.
 
Safi sana hii kitu maana itapunguza ushindani tena kama mm nikilipata nakua nazunguka nalo to kwenye gari na likiwa la upepo ndo safi zaid
 
Jiandaeni aisee, tena kama ni Mimi nakuambia nipe muda nikufikilie, maana mko wengi mno na midoli juu tumeongezewa.

hahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umenichekesha sana,eti ngoja nipe muda nikufikirie haahahahahhaa inaelekea midoli ikiwa mingi utaringa sana wewe
 
Nimejifurahia sijashtuka.. kwa kuwa nakiona kama kitu ambacho najiamini asilimia 100 hakiwezi kunichukulia nafasi yangu.. kamwe.
Utakapo jua kua akizeeki na wewe una zeeka ndo utajua kitakuchukuliaje nafasi
 
hii midol inaweza kukatika,na vipi kuhusu kujisafisha baada ya shoo au ndio kujiongezea mzigo geto
 
hahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umenichekesha sana,eti ngoja nipe muda nikufikirie haahahahahhaa inaelekea midoli ikiwa mingi utaringa sana wewe
Rebecca Jipangeni, kunitongoza unitongoze, kunilisha, kuninywesha, Mzigo utanipa na Nauli juu !! Dadadeki.
Kama vipi Samantha na Mie.
 
Oyooooo ashukuliwe mungu muumba mbingu na ardhi sasa ukimwi na dhambi ya ngono basi tena kuna raha kulala na midoli kitandani kama mito ni mapambo mazuri sana home a aloneee kwishine
 
shetani kashika kichwa mdomo wazii anatoa macho....
Katitesa na kututisha sana shetani sasa ni zamu yake kushika mdomo wazi na kumuomba mungu amnusuru na wanadamu kama ss tulivyo kua tunamuomba mungu atunusuru na shetani
 
Mtoto potabo,ziwa chuchu saa sita!!sasa hv no steless ukiwa nae huyo unajipigia tu muda wowote!
 
Back
Top Bottom