Nazi tunayo wadada/wanawake

Kumezuka kamtindo ka wakinadada/mama siku hizi. Akishikwa bega tu wanakwenda shitaki kuwa amenyanyaswa kijinsia (ME TOO).

Watu wamefukuzwa kazi kwa tuhuma tu na wengine wamepoteza mali nyingi kulipa fidia.

Hii kitu (Samantha) sasa ndio kiboko yao. Watajipitisha pitisha karibu na wewe maofisini na mitaani lakini mijamaa wala haitawapatiliza.

Wanawake mjifunze kutongoza na kuhonga sasa. Tumewabadilishia kibao. Mxuuuu
wewe nn mwanaume?
 
Duh!! Kweli habari njemaa kwetu!!

Maana sometimes ke wanazingua.

Lakn vipi jaman linachajiwa au?
Kupika je au show peke yake?
 
Back
Top Bottom