Nazi tunayo wadada/wanawake

Nazi tunayo wadada/wanawake

Naimajini mwanaume akinjunja huyo mdoli pyeeeeee
Dunia simama nishuke
 
Wanadamu wamevuka hadi enzi za Sodoma na Gomola!!!

Yaani sasa hadi kwenye midoli???

Mmhhh!! Sipati picha ya PIGO linaloandaliwa kwa wanadamu.

Ee Mungu, njoo uuchukue ulimwengu wako kabla hatujauchafua.
 
Dah afadhali aisee...sasa namuringeee wee mi hata siwatopoi yani...ni mdoli kwenda mbeleee...
 
Wanadamu wamevuka hadi enzi za Sodoma na Gomola!!!

Yaani sasa hadi kwenye midoli???

Mmhhh!! Sipati picha ya PIGO linaloandaliwa kwa wanadamu.

Ee Mungu, njoo uuchukue ulimwengu wako kabla hatujauchafua.
Mkuu usiwe na shaka,ni moto tu ule ule hawezi badilisha
 
Hebu munipe na bei na anapitakana wapi...sitaki hata kuchelewa hii valentine inikute nipo na samantha...
 
Back
Top Bottom