Locci
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 1,002
- 826
unataka kutongozwa ww tu??...kwan umeambiwa ukitongoza unadedi???..mbona sie tunawatongoza mnatushushua,mnatutukana,mnatukejeli n.k. na bado tupo tu!Sijui kwanini haijanshtua. All in all bado nafasi ya binadamu itabaki as binadamu na mdoli as mdoli.. Kajifurahisheni nafsi zenu wanaume,sitongozi mtu abadani.