Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,796
- 4,297
weka lyrics tujue kaandika niniNgoja tujaribu kukuwekea hapa
weka lyrics tujue kaandika niniNgoja tujaribu kukuwekea hapa
ndio ukuje!Sawa
Hawa BASATA nao ni vifuu vya nazi, Ney wimbo wake uko U-Tube ; hawawezi kuufuta kama wanavyofanya na radio mbao za bongo!! Amewazidi akili!!Nay na Roma wangekua wachezaji mpira, basi wangefukuzana na Sergio Ramos kwa kadi nyekundu! Kila kukicha wanapurukushana na Basata!
nn?ndio ukuje!
we umejificha huku jitokeze tukuoneNey usiogope wahaini wanaouza nchi kwa waarabu
kuhusu nini?
Mkuu njoo apa guliyang’ombe uisikilize..Ebu wekeni hiyo nyimbo hapa ili nasisi tuisikileze huku ibologelo...🤓
Sitaki najiheshimukuhusu nini?
njoo basi!
nani kakwambia nitakuvunjia heshima bibie?Sitaki najiheshimu
wanaouliza amefanya nini wasome hizi hapa hizo lyrics za wimbo huo
Wimbo kila mtu anao nani siku hizi anasubiri redio au TV kusikiliza wimbo ?
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa, kwamba Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtumia Barua ya wito TRUE BOY likimuhitaji kwa Mahojiano kuhusu Kibao chake kabambe alichokitoa hivi karibuni, bado hatujajua kama ameitwa ili Kupongezwa kwa ujumbe wake Muruwa kwa Jamii au la.
Hata hivyo Mwanamuziki huyo ametangaza kuwaelekeza Wanasheria wake watoe taarifa kwamba yuko ziarani na akirejea ataonana na BASATA
---
Nay katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe huu:
Nimepokea Barua Ya Wito Leo Asubuhi Kutoka baraza La Sanaa Tanzania #Basata Ikiniitaji Kufika Ofisi Za Basata Leo Saa Nne Asubuhi. Isue Ni Wimbo Wangu Wa #Amkeni Nimeshindwa Kufika Leo Coz Nipo Safarini, Mwanasheria Wangu Amesha fanya Mawasiliano Nao Kuomba Siku Nyingine.