Nay wa Mitego aitwa BASATA. Atuma Wanasheria wake

Nay wa Mitego aitwa BASATA. Atuma Wanasheria wake

Kazaneni kumsifu,kwanza huyu anatakiwa atulizwe kolokoloni kama mwaka hivi bangi ziishe kichwani
Mkuu , hebu msome Kikwete hapa hata kidogo tu uelewe , Polisi hawatawasaidia chochote

FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Jirani unapenda umbea[emoji38]
Skamoo kipenzi, misijambo na shangazi zako wote hawajambo kabisa zaidi wanakuulizia tu.
Mnaendekeaje lakini huko kijijini??
Baba na mama ukiwakuta wazima.??
Basi ukiwa unarudi usisahau kutuletea michembe, mbute, makopa, matobilwa, nsansa, nswali na uyoga...☺
 

Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa, kwamba Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtumia Barua ya wito TRUE BOY likimuhitaji kwa Mahojiano kuhusu Kibao chake kabambe alichokitoa hivi karibuni, bado hatujajua kama ameitwa ili Kupongezwa kwa ujumbe wake Muruwa kwa Jamii au la.

Hata hivyo Mwanamuziki huyo ametangaza kuwaelekeza Wanasheria wake watoe taarifa kwamba yuko ziarani na akirejea ataonana na BASATA
---

Nay katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe huu:

Nimepokea Barua Ya Wito Leo Asubuhi Kutoka baraza La Sanaa Tanzania #Basata Ikiniitaji Kufika Ofisi Za Basata Leo Saa Nne Asubuhi. Isue Ni Wimbo Wangu Wa #Amkeni Nimeshindwa Kufika Leo Coz Nipo Safarini, Mwanasheria Wangu Amesha fanya Mawasiliano Nao Kuomba Siku Nyingine.
Wanaenda kumpongeza kwa kwa kukuza Fasihi simulizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom