Msaada wa PDF file editor kwenye simu wakuu.

Msaada wa PDF file editor kwenye simu wakuu.

MzaramoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
1,873
Reaction score
3,096
Heshima kwenu wakuu.

Aisee hebu nisaidieni wakuu nna file ipo kwenye simu ila ni pdf file sasa nataka ni-edit kwa kutoa baadhi ya maneno na kuongeza mengine. Ni app gani nitumie ku-edit nimejaribu xodo, office suite, adobe acrobat, MS word lakini sielewi tatizo ni nini.

Naomba msaada wa kujua ni app gani nitumie ku-edit hiyo file wakuu najua wataalam mpo humu.

Natanguliza Shukran Wakuu.
 
Tafuta PDF to word app uaigeuza hiyo PDF file kwenye Word na kui-edit ukiisha maliza unairudisha kwa PDF file,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hapo kwenye screenshot ni bora
Screenshot_20180901-202408.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom