Nawezaje kuzitambua memory na flash original?

Nawezaje kuzitambua memory na flash original?

Free Again

Senior Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
114
Reaction score
93
Naomba msaada kwa anayejua kuzitambua memory na flash original na fake!
Pia naomba msaada kama unajua sehemu gan zinauzwa kwa Dar au Mbeya.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baadhi ya flash sana sana kuanzia gb 32 unaweza kuta kitu kwenye pc kinacheza kwenye deki hakichezi ukiona hivi iformat hiyo flash kwa simu.

Njia rahisi kabisa ukiachilia ya kuangalia muonekano wa flash ni kuweka vitu vingi kwa pamoja kisha kuanza kuplay hivyo vitu.
Mfano gb 8 unaweka miziki labda 50 halafu chomoa flash kisha rudishia kwenye mashine halafu play muziki ukikubali kuplay hiyo nzima. Kama manjegeka utaona inapiga labda nyimbo 9 wa 10 mpaka 50 utagoma.

Zitolee macho sana flash kuanzia ukubwa wa gb 16 kwenda mbele.

Bro hua ananunua K/Koo mtaa wa Kongo kuna duka la wasomali fulani hivi wale hawajawahi kumuangusha.
 
Shukran sana Castr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kibongo bongo karibia asilimia 99 ni fake, zinaandikwa tu brand kubwa kubwa sijui HP, TOSHIBA etc lakini ni fake.

kwa memory card nenda playstore download app ya sd insight itakuonesha details za memory card kuanzia brand, mwaka uliotengenezwa, ukubwa wake etc ukiona kuna unknwon tu ujue ni feki.

pia zote memory card na flash unaweza ukazipima speed, mara nyingi original huwa na speed kubwa, hamisha kitu kikubwa kama movie kwenda kwenye flash au memory card kutumia pc kisha angalia speed ni mbps ngapi,

flash/memory nzuri huwa ni 10mbps kwenda mbele.

ni mara mia ununue mchina mwenye akili kuliko kununua brand nzuri ambayo ni fake, flash nzuri ya kichina nimewahi nunua twinmos

memory card nzuri maduka ya camera makubwa
 
Swali zuri mleta Maada je mnaweza kutusaidia sehemu nzuri ya kuweza kupata hizi memory card pamoja na flash ikiwa ni hapa bongo or online..

Thanks
 
Back
Top Bottom