Nawezaje kutumia computer kama TV?

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
654
Points
1,000

Chifyono

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2017
654 1,000
Habari Jf

Naomba msaada wenu wa namna ya kutumia desk top computer aina ya hp compaq dc 78000 kama Tv

Nina kingamuzi cha Azam hivyo nahitaji muongozo wenu nini nifanye na kipi kinahitajika niweze fanikisha issue hii

Nawasilisha
 
Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
129,223
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
129,223 2,000
Habari Jf

Naomba msaada wenu wa namna ya kutumia desk top computer aina ya hp compaq dc 78000 kama Tv

Nina kingamuzi cha Azam hivyo nahitaji muongozo wenu nini nifanye na kipi kinahitajika niweze fanikisha issue hii

Nawasilisha
Nunua tv box ni kati ya laki mpaka laki 2
 
Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,242
Points
2,000

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,242 2,000
Kama upo dar nenda k.koo chukua TV box yako kama huna hela chukua hizo nazokwambia ila kama unatka mbwembwe kanunue ulizoambiwa na mshana...ila kwa kua maisha yako ndo haya haya chukua cha 45,000 kinaenda mpk 60,000
 
Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
654
Points
1,000

Chifyono

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2017
654 1,000
Kama upo dar nenda k.koo chukua TV box yako kama huna hela chukua hizo nazokwambia ila kama unatka mbwembwe kanunue ulizoambiwa na mshana...ila kwa kua maisha yako ndo haya haya chukua cha 45,000 kinaenda mpk 60,000
Asante sana mkuu 45000 itanifaa hakika

Hivi tofauti yake ni hizo za Mshana nini zaidi
 
Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,242
Points
2,000

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,242 2,000
Asante sana mkuu 45000 itanifaa hakika

Hivi tofauti yake ni hizo za Mshana nini zaidi
sijajua mkuu..maana ya mshana naionaga ila naipita kama sijaiona so natumiaga hizo za bei nlokutajia mkuu...Labda ni ubora japo sijui kwakweli tofauti yake kubwa n nini maana kama ni kazi nayoitaka hii ya 45 inafanya tena vizuri tuuu.

Akipatikana aliezitumia zote mbili atakwambia utofauti alio uona ila kwamimi nimetumia hiyo nlokutajia tu mkuu.
 
BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
3,123
Points
2,000

BOB OS

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
3,123 2,000
unaweza nunua USB AV grabber, ina matundu ya A/V ambayo utachomeka cable za picha na sauti kutoka kwenye kingamuzi,,
then unaweza kuangalia tv kupitia vlc,au application yoyote ile unayoipenda.......
bei ni 10-20k
 
Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
654
Points
1,000

Chifyono

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2017
654 1,000
unaweza nunua USB AV grabber, ina matundu ya A/V ambayo utachomeka cable za picha na sauti kutoka kwenye kingamuzi,,
then unaweza kuangalia tv kupitia vlc,au application yoyote ile unayoipenda.......
bei ni 10-20k
Asante mkuu
Ila mimi nahitaji nitumie kingamuzi na sio vinginevyo
 
Forum statistics

Threads 1,378,779
Members 525,187
Posts 33,724,249
Top