Nawezaje kutoka kwa mwanadada huyu

Nawezaje kutoka kwa mwanadada huyu

Mungu kakuletea mwanamke mzuri ila unamkimbia?
KwanZa rudi shule kwa sababu heka heka zako bado ni za kitoto.
Ulivyogoma kwenda shule nilijua utakuja na Mishe moja kubw sana but kumbe unaenda kwa wahindi viwandani?

Huyo mwanamke muoe na rudi shule. Tengeneza familia na huyo mwanamke.
Waalimu ndio wife materials waliobakia wengine wote wapo marathon sokoni
 
Bwamdogo kumbe alikuwa anamzungumzia mshua wake mara ghafla mwalimu yani kajua kunichanganya maana nilishajiandaa kushusha ushauri juu ya yeye na mshua masta wake.

Kidogo shwaa kahamia kwa wahindi 😂

Dogo janja anataka maisha mazuri lakini mvivu hadi wa kufikiri. Muoga muoga akiendelea na tabia hizi hatoboi. Shule kakimbia, kazi nazo anakimbia bure kabisa.
Hili ni bonge la furushi in the making. Sijui mwalimu alijichanganyaje🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom