Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
Sijapenda🤣🤣🤣 ngoja tusubiri ajira mpya, watoto wenzio.
Sijapenda🤣🤣🤣 ngoja tusubiri ajira mpya, watoto wenzio.
Utamliza hadi ajute🤣Mimi ni kitunguu maji
Hebu tulia wewe🤣🤣Sijapenda
SitakHebu tulia wewe🤣🤣
Hapana nitamliza kwa furahaUtamliza hadi ajute🤣
Hutaki nini sasa! Acha dipresheni basi🤣Sitak
Ngoja ajichanganye sasa!Hapana nitamliza kwa furaha
😂 siwez muumizaNgoja ajichanganye sasa!
Basi tulia ajira zitiki🤣😂 siwez muumiza
😂Basi tulia ajira zitiki🤣
Hapa jamaa katongozwa akaingia box kama pisi kilaini, Msela ndio anatamaa, Ila Manzi anachokifanya anakijua kabisa.Aisee, ushauri wangu fanya namna tu utafute age yako mkuu 28 kwa 23 siyo powa
Kitu kingine ni heri umwambie ukweli, kuwa wewe kumuoa ni ngumu usimpotezee muda maana anakaribia dk za jioni asije kukulaumu mbeleni
Nje ya mada, Ila na Sisi wanawake muda mwingine tumezidi sana asee🤔, unatembeaje na mtu umemzidi miaka? Anyway ngoja nipite mie
Hata mimi nafikiri hivyo bro umesema vizuri sanaHapa jamaa katongozwa akaingia box kama pisi kilaini, Msela ndio anatamaa, Ila Manzi anachokifanya anakijua kabisa.
Kati ya ujinga siwezi fanya maisha yangu, Ni manzi hatuendani anisukie mtego nilale nae. No
Labda iwe mimi ndio nimeanza kumtamani kwa sababu fulani
Code nakupa kwa siku nyingine, Mishangazi mingi inazaa na Maboy wadogo.Hata mimi nafikiri hivyo bro umesema vizuri sana
Vipi kigezo chako bado ni kile kile?
Kipi hicho?Vipi kigezo chako bado ni kile kile?
Awe anapumua tu.Kipi hicho?
Awe na nyashAwe anapumua tu.
Una matumizi gani nayo?Awe na nyash
YananogeshaUna matumizi gani nayo?