Nawezaje kutoka kwa mwanadada huyu

Nawezaje kutoka kwa mwanadada huyu

Aisee, ushauri wangu fanya namna tu utafute age yako mkuu 28 kwa 23 siyo powa

Kitu kingine ni heri umwambie ukweli, kuwa wewe kumuoa ni ngumu usimpotezee muda maana anakaribia dk za jioni asije kukulaumu mbeleni

Nje ya mada, Ila na Sisi wanawake muda mwingine tumezidi sana asee🤔, unatembeaje na mtu umemzidi miaka? Anyway ngoja nipite mie
Upite uende wapi, anipe namba za huyo mwalimu nimuunganishe na TOD Atoto
 
Umepata mwanamke wa maana unaacha kuoa, unakuja kuomba ushauri!
Yote kwa yote hongera kwa matumizi sahihi ya lugha. Sijaona tatizo la kitaifa la kuchanganya L na R
Yeah kijana mdogo tu nyundo 23 amejua kupangilia story na mwandiko mzuri, ila kuna watu humu wakiandika visa vyao unaweza ishia kusoma heading tu na ukaja kusoma comments pekee sababu ya mpangilio mbovu na kuchanganya herufi...
 
Back
Top Bottom