Nawezaje kutoka kwa mwanadada huyu

Nawezaje kutoka kwa mwanadada huyu

Bwamdogo kumbe alikuwa anamzungumzia mshua wake mara ghafla mwalimu yani kajua kunichanganya maana nilishajiandaa kushusha ushauri juu ya yeye na mshua masta wake.

Kidogo shwaa kahamia kwa wahindi 😂

Dogo janja anataka maisha mazuri lakini mvivu hadi wa kufikiri. Muoga muoga akiendelea na tabia hizi hatoboi. Shule kakimbia, kazi nazo anakimbia bure kabisa.
😂😂😂, basi sasa inatosha asije kukimbia uzi wake
 
Mwanamke anayekupenda usimpoteze Kamwe ni vigumu kupata mwanamke anayekupenda kwa dhati

Umri siyo tatizo, la umuhimu zaidi Tulia naye mjenge maisha uachane na akili za kitoto. Kumbuka kuwa muda haurudi nyuma huu ni wakati wako wa kupambania life
Kila la kheri.
Shukran kaka
 
Jipige pige kifuani mara tatu Kisha jiite mjinga na mpunbavu
Kama ulikuwa hutaki kuwa na familia ulishindwa Nini kutumia Kinga?
Je ulipokuwa unafunua skirt hukujua matokeo ya Hilo tendo?
Nyie wavulana wapumbavu ndio mnafanya wanaume tuonekane hamnazo
Shenz type c
Wote ni wajinga hasa huyo mwanamke. Miaka 28 maana yake ameshakaa kwenye mahusiano sana kwahiyo kutoa kavu kavu kwa mvulana Ambae anajua kbs bado hawajawa na malengo ya mahusiano yao ni upuuZi, nadhani Dem alitaka amtegeshee mimba ili amteke dogo kisawasawa ss akakutana dogo nae kavu
 
Yupo Government au Private school?

Kumpata mwanamke wa aina hiyo kwa sasa ni issue (Una biashara ila haombiombi hela na anaileta,unapiga)

Kama yupo Gavo nenda naye anavyotaka hatakusumbua hata akinasa tena maana una wenge la kuhudumia zaidi.
Mkuu wanawake kama hao wapo wengi sema wanakua wana umri umeanza kuyoyoma na akiwa anataka kuanzisha familia wanakuaga wanajifanya hawaombi pesa.
 
Aisee, ushauri wangu fanya namna tu utafute age yako mkuu 28 kwa 23 siyo powa

Kitu kingine ni heri umwambie ukweli, kuwa wewe kumuoa ni ngumu usimpotezee muda maana anakaribia dk za jioni asije kukulaumu mbeleni

Nje ya mada, Ila na Sisi wanawake muda mwingine tumezidi sana asee🤔, unatembeaje na mtu umemzidi miaka? Anyway ngoja nipite mie
Hakuna kitu siwezi kudate na mtu nimemzidi, iwe umri, Elimu, maisha, etc.
Siweziiiiiiiii!!!
 
Back
Top Bottom