mimoi naamini vijembe maana hii kibiashara inakuruhusu kujitangaza maana utaamua status yako ionekane kwa watu unaotakaHamna tatizo sio vijembe mkuu ila hii mpya ni mbaya
Sijui hata walifikiria nini hii imetuathiri sana tuliokuwa tunaitumia W'app kibiashara,hizo status za video nani mwenye muda wa kuziangalia bundle lenyewe hii hali ya magufuli battery nazo tia maji tia maji ila GBW'app hawajaondoa huu mfumo.Yan hakuna sehemu inanikera zaidi kama kwenye status
Hiyo app IPO wapi MKUU?Sijui hata walifikiria nini hii imetuathiri sana tuliokuwa tunaitumia W'app kibiashara,hizo status za video nani mwenye muda wa kuziangalia bundle lenyewe hii hali ya magufuli battery nazo tia maji tia maji ila GBW'app hawajaondoa huu mfumo.
Ingia Google search GBWatsapp kisha ii-install,natumia W'app mbili kwa simu moja ndo mana nimelijua hili.Hiyo app IPO wapi MKUU?
Poa MKUU shukran nitalifanyia kaziIngia Google search GBWatsapp kisha ii-install,natumia W'app mbili kwa simu moja ndo mana nimelijua hili.