Nawezaje kurudisha WhatsApp ile ya zamani?

Nawezaje kurudisha WhatsApp ile ya zamani?

Jamani shida ni hii, nahitaji kutumia WhatsApp ile ya zamani maana hii mpya naiona ipo kinyume. Kwa anayeweza naomba anipe maelekezo wapendwa ili niirudishe ile ya zamani.

Nawasilisha ombi langu jamani.

Muwe na siku njema wapendwa
 
Kwa bahati mbaya, haiwezekani kurudisha whatsapp ya zamani, kwa sababu kama zilivo apps zingine, whatsapp inakuwa updated ili kuondoa ama kuimprove bugs pia kuongeza new features ili iendane na technological changes au needs.

So; Just kubali current whatsapp as itakuwa ikibadilika(In forms of Design and content) kulingana na mahitaji.
 
hii ni nzuri sema wabongo inawakera pale kwene status unahic wengi hawataliona dongo lako
 
Ingia Google udownload WhatsApp version hii V2.17.60

kabla ya hapo ufanye backup
Then install hiyo ila fanya kuruhusu installation from unknown sources.
 
Back
Top Bottom