Nawezaje kurudisha WhatsApp ile ya zamani?

Nawezaje kurudisha WhatsApp ile ya zamani?

WhatsApp-messenger.En.Uptodown.com/Android/Old ukishaingia hapo chagua V 2.17.60 itadownload baada ya hapo utaopen then itakuleteaa whatsapp ya zamani uinstall.....ila kabla ya hapo ondoa hiyo mpyaaa.....alafu allow installation from unknown source kwenye setting kule sehemu ya Security
 
Sehemu ya securty fafanua kidog
 
hapo ni kuwasilisha complaints ili wairekebishe otherwise ukiinstall older version tegemea kukutana na "this version of whatsapp became absolete on ____ and your date is _____ please tap on update now to update or change your date"
 
WhatsApp-messenger.En.Uptodown.com/Android/Old ukishaingia hapo chagua V 2.17.60 itadownload baada ya hapo utaopen then itakuleteaa whatsapp ya zamani uinstall.....ila kabla ya hapo ondoa hiyo mpyaaa.....alafu allow installation from unknown source kwenye setting kule sehemu ya Security
Hamna kitu mkuu nimejaribu lkn mambo ni haya haya mapy tu
 
Kwa status ya picha au kideo inayokaa masaa 24 unaweza kuchagua nani na nani ndio wazione tu, yaani bila wote. Na inakaa hivyo hadi wewe ndio ubadiri.

Nisichopenda ni ukiangalia status ya mtu na labda ya anayefutaa hutaki kuangalia basi linakwenda lenyewe kudakua inayofata bila kupiga breki inaboa sana. Na unayo view mwenye kastatus anaona no ya views na fulani fulani kaangalia. Nimeacha kuangalia kiaina kama sizioni.
 
iko mzuka lkn.. shida ni apo kweny status ,waweke maboresho kidg.
 
Hakuna haja ya kurudisha whatsapp ya zamani kwa sababu muda utafika ambapo itakua haifanyi kazi. Utalazimika kuweka hii mpya.

Inabidi uizoee tu, kama kuna kitu kinakutatiza ni bora ukasema upate maelezo.

Don't resist change, embrace it.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] new whatsap mwisho wa vijembe na............
 
Back
Top Bottom