[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu washaliaa...!! Kweli bongo nyosoo#yoshas ni tapeli.
Jamaa na atakuwa kawatapeli wengi humu
Mimi nilijifanya mteja na nikamwambia kuwa nataka huduma yake basi
Akaniambia tuma rb nikatuma nikamwambia tuonane akaanza kila mara anasema yuko kanisani na anajifanya msabato.
Jamaa ni bonge la tapeli
Kama umeibiwa simu yako na uko DSM.
Nenda tabata segerea kwenye gazebo la halotel na kuna mdada utamkuta mweusi omba connection atakupa connection na watu wa hapo hapo segerea na utapata simu yako ndani ya siku mbili. Na hawachukua hata sent kabla ya kupata simu yako.
NB. Usikubali kutoa pesa kabla ya kupata simu yako narudia tena usitoe hata sent kabla ya kupata simu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana usimuamini kila mtu.yoshas ni tapeli
Nitaleta ushahidi very soon, nilimlipa 50K anisaidie kutrace simu yangu iliyoibiwa lakini kaishia kuni-block
Ntarudi na screenshot na msg zote za mawasiliano
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaambia hana maajabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ajui chochote kuhusu simu ni mtu wa story nyingi sana.Heee kumbe uzi nimefika mwisho, mjini akili tuu pesa utazikuta.
Nimechoka alipo sema *popote ulipo simu unaipata mtu yy yuko dsm tracker, mm kigoma nilie poteza simu, dah*
Ukibiwa simu ikabadilishwa IMEI ndo sio yako tena, hutokaa uipate milele kwa Tz labda uwape CIA ndo wanaweza kuipata
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuuNiliwaambia hana maajabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ajui chochote kuhusu simu ni mtu wa story nyingi sana.
yoshas nakuomba uingie kwenye group yangu ya telegram, xiaomi users Tz ku na vitu utatusaidia sana na Please njoo na user name hiohio
Niliwaambia hana maajabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ajui chochote kuhusu simu ni mtu wa story nyingi sana.
Acha wapigwe mpaka wapate akili 😂😂Ila watanzania wengi ni wajinga sana hivi unaanzaje kumtumia pesa mtu ambaye humjui wala hujawahi kumuona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wapigwe mpaka wapate akili [emoji23][emoji23]
Mcheki huyu jamaa yoshas atakusaidia kutrack simu yako ni mtaalam wa IT.. Alinisaidia kuipata simu yangu ya xiaomi iliyoibiwa
Maelewano tu
Mkuu bhana kumbe na kutrack simu unaweza piaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhnaWewe mimi huwezi kunitapeli kirahisi hivyo harafu pia inshu ya kutrack simu ni rahisi mno ukiwa dar labda uwe mkoani
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi sikia wengine wakiiba wala hawana muda kuiwasha, simu inafunguliwa wanaanza kuuza kifaa kimoja kimoja habari kwisha.Mimi nimeibiwa simu mwezi uliopita,
Nina namba ya simu ya mwizi (namba ya mwisho kuwekwa kwenye hiyo simu).
Pia Last location yake ipo, ila hadi sasa ni either jamaa kaizima, kaiflash au kaibadilisha IMEI, maana kila nikijaribu kuitrack kwa 'Samsung au Google Find My Phone' inaonyesha tu last location ya siku mbili baada ya simu hiyo kuibiwa.
Je kupitia hii namba yake(ambayo sasa haipatikani) na hiyo last location naweza nikampata huyu mtu.
Pia IMEI ya simu ninayo ila sijui kama itawezekana kama simu imezimwa au kubadilishwa IMEI
Mawazo yenu wakuu,
Kuna askari mmoja wa polisi aliniambia kama namba ya simu ya jamaa ipo anaweza akampata ila huyu polisi simuamini maana anataka malipo kabla
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeibiwa simu mwezi uliopita,