Kama ulihifadhi EMEI number ya simu iliyoibiwa utaipata. Mimi nimepata tablet baada ya kupotea miezi minne. Wahi kabla hawajaipeleka kwa fundi kubadili number hiyoWakuu vibaka wameniibia simu yangu Samsung Galaxy Tab A 7. android 5.x.x
nimejaribu kuitrack lakini naona itakua imefanyiwa factory reset, android version yake haina ile lock ambayo hata uki rest haitoki
naombeni ushauri kuna namna naweza fanya kabla ya kwenda polisi nimepewa fununu plisi wanaweza kuitrack ikapatikana
Nawasilisha
kaibe halafu useme ww muelewa nyie ndio mnakuja inbox kulia lia nawazibia rizki zenu try 4 ua better life uone nn kitakutokea hutajuta rafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
MREJESHO:
Wakuu nashukuru nimeipata simu yangu
Nilienda polisi kuchukua RB, baada ya hapo askari akanambia naweza kuitrack kama nataka
Akaniunganisha kwa askari wa kitengo nikampa details tukayajenga
Jana akanipigia simu nikaenda nikapewa simu yangu ila mwizi wangu sikumuona[emoji2]
ungemfungulia kesi huyo polisi ili amtaje mwizi wako awekwe ndani arudishe gharama za usumbufu na kumtandika makofi ,huyo polisi atakuwa kala hela kwa huyo mwizi.
Kwa mwizi wamechukua hela tu!MREJESHO:
Wakuu nashukuru nimeipata simu yangu
Nilienda polisi kuchukua RB, baada ya hapo askari akanambia naweza kuitrack kama nataka
Akaniunganisha kwa askari wa kitengo nikampa details tukayajenga
Jana akanipigia simu nikaenda nikapewa simu yangu ila mwizi wangu sikumuona[emoji2]
Maelewano tuUlipigwa sh ngap mkuu
Uki log in kwenye google acc yako kwa kutumia kompyuta unaipata imei yako mkuuKama ulihifadhi EMEI number ya simu iliyoibiwa utaipata. Mimi nimepata tablet baada ya kupotea miezi minne. Wahi kabla hawajaipeleka kwa fundi kubadili number hiyo
1)Ulimtumia sh ngapi??Kuna aliye mtumia pesa huyu yoshas ili atafutiwe simu iliyo ibiwa na akaipata??
Mi nimetuma lkn naona rangi ya utapeli flani hapa.
Kuweni makini.
Sent using Jamii Forums mobile app
1)Ulimtumia sh ngapi??
2)ulienda ukaonana naye na ukaona ofisi yake ilipo?
3)makubaliano mliyofanya yalikuwaje?
Ukileta ushuhuda naomba ni tag.Ngoja siku zisogee baada ya siku 3 nitatoa ushuhuda mzima maana inawezekana bado anajipanga lkn kwa kifupi namba alizonipa hazipatikan, whsp ofline kitu alicho niahid baada ya dakik 2 mpaka sahiz hajatekeleza na vitu kibao vinavyo niaminisha nimepigwa japo n pesa kidogo sio mbaya San.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachekesha sana ww alfu nilichogundua huna maajabu [emoji38][emoji38]
Uki log in kwenye google acc yako kwa kutumia kompyuta unaipata imei yako mkuu
Mi sikuhifadhi niliipata huko google na kwwnye acc yangu ya Samsung
Pole mkuu.yoshas ni tapeli
Nitaleta ushahidi very soon, nilimlipa 50K anisaidie kutrace simu yangu iliyoibiwa lakini kaishia kuni-block
Ntarudi na screenshot na msg zote za mawasiliano
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe google account zetu ni minimum hivyo? IMEI unaikuta sehemu gani ya account?
Sent using Jamii Forums mobile app