Nawezaje kupata simu ilioibiwa?

Bingili

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
317
Reaction score
814
Wakuu vibaka wameniibia simu yangu Samsung Galaxy Tab A 7. android 5.x.x
nimejaribu kuitrack lakini naona itakua imefanyiwa factory reset, android version yake haina ile lock ambayo hata uki rest haitoki

naombeni ushauri kuna namna naweza fanya kabla ya kwenda polisi nimepewa fununu plisi wanaweza kuitrack ikapatikana

Nawasilisha
 
Una kiasi gani??
 
Unafanyaje!
 
Boss nikiflash simu hutokaa uipate andika maumivu
 
Nakupataje unisadie kutrack simu. Note 9.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe whatsapp number yako ni save tu in case

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du we noma
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hebu tupe elimu mkuu.
 
Mkuu salute kwako Mimi Nina rb ya alieibiwa mwaka umepita je muda sio tatizo?
 
Mkuu yoshas hujaweka mawasiliano ya namna ya kuwasiliana ila umesema pm na pm unasema huingii Mara kwa kwa Mara jf
 
Naomba mawasiliano .
 
mkuu yoshas account yng ya apple ID imefungwa na imegoma kulog out vp unaweza kunisaidia?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna nyingine huwezi zipata mzee na wengi wanaopatikana bado hawanauelewa wa simu vzr mm ningekuwa mwizi huwezi nipata kifala kama wanavyopatikana hao maboya.
 
Hata ikibadilishwa imei number mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…