Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,347
- 2,211
Fuatilia kwa karibu mimi ka GPA kangu kadogo ngoja nikomae na HESLBNIlijua web nyingine
Ya chuo wanapost phd zaid, labda nimsaidie kufuatilia zaid
Fuatilia kwa karibu mimi ka GPA kangu kadogo ngoja nikomae na HESLBNIlijua web nyingine
Ya chuo wanapost phd zaid, labda nimsaidie kufuatilia zaid
Hawajaanza leosiku hizi Loan body kumbe wanatoa hela mpk kwa watu wa masters🙆
Jamaa hajui pia
Wanakulipia ada tu au Hadi boom?Hawajaanza leo
Tuition fees na books and stationeryWanakulipia ada tu au Hadi boom?
Wakuu kwema?
Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology.
Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship?
NB: Preference yake ni Nelson Mandela Institution of Science and Technology(Arusha)
Asanteni^
mwalimu nyenyere scholarship nenda website ya benki kuu ya tanzania(B.O.TWakuu kwema?
Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology.
Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship?
NB: Preference yake ni Nelson Mandela Institution of Science and Technology(Arusha)
Asanteni^
Ifakara health Institute (IHI) inatoa kwa hyo course tuNaomba kuuliza km course nyingine zina scholarship au ni hii pekee
Mkuu habari vipi?Nitumie no. Yako ya sim dm nitakutafuta...!