Nawezaje kupata scholarship ya Masters program?

Mowwo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
1,725
Reaction score
2,540
Wakuu kwema?
Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology.
Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship?

NB: Preference yake ni Nelson Mandela Institution of Science and Technology(Arusha)

Asanteni^
 
Hivi nyie mnadhani ufadhili ni wakupeana kama ccm wanavyopeana ndani ya familia eti

tafuta kwa admision ya chuo ukishapata admision ndio unatumia kuomba ufadhili sasa, uzuri usupopata unaweza ku-defer admision to next year ukipambana na ufadhili
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Wakuu kwema?
Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology.
Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship?

NB: Preference yake ni Nelson Mandela Institution of Science and Technology(Arusha)

Asanteni^
Wapi huko unataka wakati agents kibao,mtafute Mona Lisa
 
Mbona Mimi nikifungua website yao nikitaka kuapply inagoma??? Nahangaika tangu juzi
Ilikua inafanya kazi
Nimechek pia naona can't be reached.
Apo ni kuwachek km hujaapply bado
 
Back
Top Bottom