habarin wakuu,
kuna simu hapa htc android version 2.2.1 nimeletewa niweke whatsapp kila nikidownload playstore naambiwa hii version haipo supported lakini mwanzo kulikuwa na whatsapp kabla haja uninstall ilikuwa inatumika fresh. kuna aliyewahikutana tatizo hili na je ulitatuaje.
thanks.