benard masele
Member
- Jul 21, 2026
- 6
- 10
- Thread starter
- #41
Shukran mkuuni muhimu sana kuskiliza kwa sauti hotuba au makala mbalimbali, mathalani za wahuburi, wataalamu wabobevu wa afya au wanasiasa kwa lugha yoyote ile uipendayo, kisha baadae jitokeze na ujiunge na wenzako kijiweni na bilashaka yoyote utakua na cha kusumulia na hatimae huo utakua mwanzo wa kuondokana na hali hiyo ya ukimya unao kufedhehesha 🐒