Nawezaje kuondokana na hali ya ukimya

Nawezaje kuondokana na hali ya ukimya

hapo mwisho umedanganya bwana😆
una wasiwasi tu.
Mm sio mlevi. Ni mnywaji.

Mara moja moja ndio naloweka sana ile kurud late mahome.
Ila siku za kawaida nina behave.

Nikigusa ni bia 2 tatu. Na silewi.
ila zinaniongezea hamu ya kula.
 
WAKUU mm ni Introvert,lakini mm hii hali me siipendi,Nataman kuwa kama watu walio changamka,, kifupi jaman Nataman kuondokana na ukimya niwe muongeaji japo niwe muongeaji wa kati, lakini hii hali imekuwa ikinisumbua sana.

Nifanyaje wakuu ili niwe kwenye hali ninayo itaka
Anzisha kanisa la kilokole. Ni wiki tu utaanza kurapu kuliko Mwamposa.
 
piga vitu mkuu,hasa hasa vitu vikali vikali achana na vijuiisi kama izo Castle_Lite

Vikali siviwezi.
Naona vinapanda kichwan haraka.

Alafu mm nataka kitu ambacho nikisema stop. Basi Nanyanyuka na kwenda Home.

Pombe kali zinacheza sana na akili yako.
Unaweza ukaona kabisa imetosha na unahitaj kwenda home. Alafu Ikaja fikra kuwa pale ni kwako unawahi nini , nyumba si iko tu. Utaikuta. Basi unakaa unaendelea kupiga vyombo😊😊😊😊.

Mm hii sitaki. Nataka kucontrol maamuzi yangu.
 
s

ifa kuu ya pombe kali mkuu usiipige kichoyo kuwa na kampani ili hata ukiona unaanza hayo mawazo uhakika wa usalama unakuepo tuu..
usisahau na misosi mizuri hapo tuuh
 
WAKUU mm ni Introvert,lakini mm hii hali me siipendi,Nataman kuwa kama watu walio changamka,, kifupi jaman Nataman kuondokana na ukimya niwe muongeaji japo niwe muongeaji wa kati, lakini hii hali imekuwa ikinisumbua sana.

Nifanyaje wakuu ili niwe kwenye hali ninayo itaka
Just be yourself.

Me nafikiri unachotaka moyoni ni validation kutoka kwa watu, yani uhisi unakubalika na watu.

Sasa sio lazima uongee sana.

Unaweza ukafanya mambo mengine watu wakakuona wakakukubali, mpaka itakubidi uongee mpaka uchoke mwenyewe mf. Biashara.

Pia kutaka kukubalika na watu ni mtego!

Kama kazi yako unajikuta haihitaji maongezi mfano programmer, nakushauri tu uje kwa YESU uanze kutangaza injili maana mavuno ni mengi wafanyakazi ni wachache mpo mmejaa tele mnajifanya hamjui kuongea acheni bwana! !
 
WAKUU mm ni Introvert,lakini mm hii hali me siipendi,Nataman kuwa kama watu walio changamka,, kifupi jaman Nataman kuondokana na ukimya niwe muongeaji japo niwe muongeaji wa kati, lakini hii hali imekuwa ikinisumbua sana.

Nifanyaje wakuu ili niwe kwenye hali ninayo itaka
Mkuu kuwa introvert Haina maana kwamba huwezi kuongea, lakini mara nyingi introvert people hupenda kuongea mambo yenye msingi na fact.

Sasa ili kutatua changamoto yako, nafikiri inatakiwa ufanye mambo haya.

1. Jifunze sana, Yaani soma vitabu aina mbalimbali na katika kusoma huko utakutana na maada ambazo utakua interested nazo kwahiyo utajikuta unajifunza zaidi kuhusu hizo maada.

2. Toka nje uongee na watu. Mkuu huwezi kuwa muongeaji kama hutakutana na watu wa kuongea nao.

Hivyo kwakuwa umeshasoma vitabu vingi na kujua vitu vingi tofauti utajikuta hata ukikutana na watu utapata japo mambo mawili au matatu ya kuchangia kwenye maada zao au wewe kuanzisha maada.

3. Jenga ukaribu na watu wanaoongea zile maada ambazo hata wewe zinakuvutia sana. Kupitia hivi utajikuta nawewe umekua muongeaji japo hutaweza kuongea na Kila mtu.

4. Tumia social media kujifunza kuongea na kujenga Hoja. JF imekua ni sehemu nzuri na sahihi kwa kuanzia.

Wish you all the best friend.
 
Yaani huku usije kabisa hukuwezi ni kwa moto kuna mda tunatamani tufunge na kufuri ila ndo hivo hatuwez.
 
Uongeaji unataka kuongea nini wengi walio kutwa na majanga ni sababu ya ndimi zao kua hivyo ulivyo utaepusha mengi
 
Back
Top Bottom