Kama una link ntupie mkuu naona siipatidowoad app inaitwa "adclear" itafute google haiko playstore. hii app ikiwa active iko mfano wa VPN yaani inafunga milango yote ya ads hadi zile ads kwenye video za yutube hutoziona tena. trust me.
kama umenipata lete mrejesho.
Ad blocker for Android AdClearKama una link ntupie mkuu naona siipati
Tumia hii app ya Trojan killer ni nzuri niliwahi kuitumia kwenye SONY xperia fulani hivi ikawa inatoa hizo pop-ups adWakuu nnatumia android ina kera sana ina pop advertisement nikiwasha tu data, nimejaribu namna ya kutoa nimeshindwa msaada tadadhali.
Bado mkuu imegoma..Tumia hii app ya Trojan killer ni nzuri niliwahi kuitumia kwenye SONY xperia fulani hivi ikawa inatoa hizo pop-ups ad
basi hiyo app inachagua..kwangu ilikubali mbonaBado mkuu imegoma..
mkuu share link basi kurahisishadowoad app inaitwa "adclear" itafute google haiko playstore. hii app ikiwa active iko mfano wa VPN yaani inafunga milango yote ya ads hadi zile ads kwenye video za yutube hutoziona tena. trust me.
kama umenipata lete mrejesho.
naomba hela sasa sinimekusaidia?
Hii application nimeipenda bure, mpaka hivi vi add vy Jamii forum kwishineeee kabisaaa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Sjakuelewa kaka, fafanua kidogoyaani bwana adclear unashare nae mawasiliano yako ya msingi.
wewe umeelewa vingineyaani bwana adclear unashare nae mawasiliano yako ya msingi.
hiyo lugha ya malikia ndgu yangu!!!!!wewe umeelewa vingine
kumonitor mawasiliano yako ni kuzuia hayo matangazo na mavirus na sio vingine
sasa atawezaje kuzuia hizo ads bila ya kumonitor mawasiliano ya kwenye device yako.